Nimemiss sana mademu wa club

Hata ukisema sangara sio mbaya..huyo nitamfata Mwenyewe asubuhi pale ziwani...nikuchukulie fresh kabisa

mwanza kwetu
 
nakuja sept niandalie sato mkubwa! mchemsho
Hata ukisema sangara mkubwa..sio..mbaya,huyo nitamfata mwenyewe nikuchukilie pale ziwani anayecheza....mchemsho bila kusahau na chapati kwa mbali au na ugali wa muhogo

mwanza kwetu
 
Hata ukisema sangara mkubwa..sio..mbaya,huyo nitamfata mwenyewe nikuchukilie pale ziwani anayecheza....mchemsho bila kusahau na chapati kwa mbali au na ugali wa muhogo

mwanza kwetu

hapana mie ni samak tu sitakula ugali /wali had naondoka. nakulaga samak tu yaan
 
Reactions: lup
hapana mie ni samak tu sitakula ugali /wali had naondoka. nakulaga samak tu yaan
Kama kweli una maanisha hakuna shida..Niko chini ya kilometa 2 kufika ziwani..kwa hiyo sio mbaya ni uwezo wako wa tumbo

mwanza kwetu
 
hapana mie ni samak tu sitakula ugali /wali had naondoka. nakulaga samak tu yaan
Haina shida nitajihidi kuwa naogezea tu mchaganyiko kama viazi,ndizi..ili usiboeke

mwanza kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…