MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
hhaha kwann mkuu! sijui hata kupenda huku kulinipataje aisee,, mana sijalelewa kwenye maisha hayo...yaan ukitaka nienjoy niache sehem za mziki aisee... !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeolewa???[emoji15]hhaha huko ni ukweni pia! asante kwa kujali mkuu
Sio mbaya nitalinda heshima yako .hhaha huko ni ukweni pia! asante kwa kujali mkuu
Sio mbaya nitalinda heshima yako .hhaha huko ni ukweni pia! asante kwa kujali mkuu
Sio mbaya nitalinda heshima yako .hhaha huko ni ukweni pia! asante kwa kujali mkuu
Sio mbaya nitalinda heshima yako .
mwanza kwetu
Hata ukisema sangara mkubwa..sio..mbaya,huyo nitamfata mwenyewe nikuchukilie pale ziwani anayecheza....mchemsho bila kusahau na chapati kwa mbali au na ugali wa muhogonakuja sept niandalie sato mkubwa! mchemsho
Hata ukisema sangara sio mbaya..huyo nitamfata Mwenyewe asubuhi pale ziwani...nikuchukulie fresh kabisa
mwanza kwetu
Hata ukisema sangara mkubwa..sio..mbaya,huyo nitamfata mwenyewe nikuchukilie pale ziwani anayecheza....mchemsho bila kusahau na chapati kwa mbali au na ugali wa muhogo
mwanza kwetu
Kama kweli una maanisha hakuna shida..Niko chini ya kilometa 2 kufika ziwani..kwa hiyo sio mbaya ni uwezo wako wa tumbohapana mie ni samak tu sitakula ugali /wali had naondoka. nakulaga samak tu yaan
Haina shida nitajihidi kuwa naogezea tu mchaganyiko kama viazi,ndizi..ili usiboekehapana mie ni samak tu sitakula ugali /wali had naondoka. nakulaga samak tu yaan
Njeres the bist...Hujataja hata club moja ya Arusha...i doubt njereeeh!
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Haina shida nitajihidi kuwa naogezea tu mchaganyiko kama viazi,ndizi..ili usiboeke
mwanza kwetu