Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

mwambie unavojickia juu yake uone atakuambia nn mana huwezi jua yy naye huko aliko havikaliki.......ila nivema ukafata ushauri wa kaka bht

better the devil you know than the angel you dont know...
aminata siyo kwamba me ndo nimemfil hapana hata yy amenionyesha hivyo
 
Ma HB hawaishi Mankaa, just ridhika na ulie nae, provided that mnapendana.

isue siyo u Hb wake jaman sem nimevutiwa nae tu kutoka moyoni uhb siyo wa kivileee kuna vingine jmn
 
Sasa uki-miti na mimi, hata huyo jamaa wako wa Juzi utamuona si kitu,
Kama unabisha, jaribu!!
 
Ulimsoma soma vp ukajua hana gf? uliuliza?

Teh teh haya madame follow your heart.
 
Unatema big gee kwa karanga za kuonjeshwa? Haya cheza na chui ndani ya ngozi ya kondoo. Ulitarajia aweje siku ya kwanza? Sasa vua.....halafu kama utamwona tena.
 
isue siyo u Hb wake jaman sem nimevutiwa nae tu kutoka moyoni uhb siyo wa kivileee kuna vingine jmn

Hivyo vingine huyo boyfriend wako ulie nae hana?

Na je unampenda kweli huyo boyfriend wako? Au umeshamchoka?
 
Unatema big gee kwa karanga za kuonjeshwa? Haya cheza na chui ndani ya ngozi ya kondoo. Ulitarajia aweje siku ya kwanza? Sasa vua.....halafu kama utamwona tena.

Kama bigjii imeisha utamu je?
 
Sasa uki-miti na mimi, hata huyo jamaa wako wa Juzi utamuona si kitu,
Kama unabisha, jaribu!!

kwan wewe nivipi na unajua huyo nlomiti nae ana nini kilichonchanganya
 
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang

Wakati unaenda kukutana nae, hukutuomba ushauri, sasa umekutana nae, unaona dalili za kumegwa kwa spidi ya mwewe, unakuja mbio kutuomba ushauri kabla hujalikoroga kwa mwenye mali......watu wengine bwana!

we umpe mambo ukauke kisabuni na iwe mwanzo na mwisho, then endeleza penzi kwa BF wako, manake unaonekana hilo ndio unalitaka.
 
Si nilikwambia mie nimeoa...........
Haya mambo ya kuanikana humu mie siyapendi kabisa..................LOL
 
Back
Top Bottom