- Thread starter
- #61
chaguo ni lako dunia ni yako
gusishanisheni vikojojeo kufikia kilele cha ubora kutimiza furaha ya hisia za mioyo yenu..
umemaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chaguo ni lako dunia ni yako
gusishanisheni vikojojeo kufikia kilele cha ubora kutimiza furaha ya hisia za mioyo yenu..
aminata siyo kwamba me ndo nimemfil hapana hata yy amenionyesha hivyomwambie unavojickia juu yake uone atakuambia nn mana huwezi jua yy naye huko aliko havikaliki.......ila nivema ukafata ushauri wa kaka bht
better the devil you know than the angel you dont know...
Ma HB hawaishi Mankaa, just ridhika na ulie nae, provided that mnapendana.
kashaniambia amenifil so
isue siyo u Hb wake jaman sem nimevutiwa nae tu kutoka moyoni uhb siyo wa kivileee kuna vingine jmn
Unatema big gee kwa karanga za kuonjeshwa? Haya cheza na chui ndani ya ngozi ya kondoo. Ulitarajia aweje siku ya kwanza? Sasa vua.....halafu kama utamwona tena.
Sasa uki-miti na mimi, hata huyo jamaa wako wa Juzi utamuona si kitu,
Kama unabisha, jaribu!!
Ulimsoma soma vp ukajua hana gf? uliuliza?
Teh teh haya madame follow your heart.
Sasa uki-miti na mimi, hata huyo jamaa wako wa Juzi utamuona si kitu,
Kama unabisha, jaribu!!
Promo eee?
nikikudokeza tulichoenjoy utanishaurije
mankaa ntakushauri kutokana na utakacho niambia. siwezi tabili utakachonidokezea. hebu dokeza niskie..!
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa
jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang
umeona eeh
better the devil you know than the angel you dont know...