Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

Pole mkuu. Labda anaeliwa ni mkeo tu wengine tunashiriki tu. Halafu kiafya huwezi kushiriki kila marathon. Kwani zipo taratibu zinazo ongoza michezo hiyo kiafya nasio kukimbia kimbia tu. Mkuu
 
Usiwe hivyo mkuu jana nimekula dada mmoja safii Asante to CRDB Marathon... Leo karudi kwa mme wake Dodoma. That's Life.
 
Umechelewa sana ameshasuguliwa mashavu huyo...sema akiosha mpya
 
akitaka kuliwa,analiwa hapohapo uko nae,dawa ni kumpa uhuru tu,isipokuwa kabla hajaondoka uende chumvini,ili uipate ile original nectar yake na harufu,sasa siku anarudi,kabla hajaoga nenda chumvini,kama kaliwa basi ike origional nectar na harufu hutaipata maana akiliwa ataiosha sana.Baada ya hapo uamuzi ni wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…