Nimemkosa mke wa kuoa asiyeweza kuzaa

Nimemkosa mke wa kuoa asiyeweza kuzaa

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Niliwai kuweka offer yangu humu kuwa nahitaji kuoa lakin mke asiwe na uwezo kwa namna yoyote kuzaa. Nitampenda mno. Nina watoto 2 tayar.

Mama zao walishaolewa zaman huko. Sitak kuongeza kamwe lakin mke namwitaj kwa sabab za nje ya kupata mtoto. Zaid isiwe ana mtoto mwingine huko.

Awe Mtanzania. Awe zaid ya 30. Niko 40. Kwakwel hatajuta kuwa mke wangu kipenz.
 
Hamna ataekuja saivi maana itakua ni kuji verify kuwa yeye ni TASA

subiri ufike 50 wao watakua 40 atleast wapo wataojaribu sema "enough is enough"

hapo utampatiamo walau mmoja,mzeeke zenu kwa amani mwaya
 
Hapo u selfish huko WAP kama akiamua aoe tasa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu anamwoa kwa sababu si kwa upendo, sababu zake binafsi, hata mimi ni tasa(according to social construction) lakini siwezi kukubali offer kama hiyo.
Ndoa msingi wake ni upendo, upendo ni nini
1 Wakorintho 13:4-7 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
4 Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno.

5 Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. 6 Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. 7 Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote.
Hapo u selfish huko WAP kama akiamua aoe tasa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
client3, Mkuu nadhan hujasoma ukamuelewa vzr mbn swal la upendo jamaa kalielezea vzr kbs
 
Haa😳😳 siwezi hata kwa billion juu najua maana ya thamani ya mwanadam
Kataa maneno uskatae wito,,, sometimes you can’t write everything in mind in order to be understood perfectly..
A mouth can say a lot in a precise manner than a finger can write..
 
uzuri wa tasa we unakojolea ndani tu hakuna bebi niko kwenye siku za hatari wala nini, mara sijaona siku zangu
 
Nimetanabaisha vizur kuwa namwitaji mke ambae kwa namna yoyote imethibitika hawezi kuzaa. Haijalishi sabab za hali hiyo. Sikusema uko vizuri tu uje ukae nikubanie kuzaa kisa ndoa. Msinichambue kwa tafsir hasi bandiko halina ubinafs wowote. Mana tayar mwenzako anakuwa hivyo simfany mimi. Wanawake muache kukariri kwamba mnapendwa ili mzae tu. Nyie si incubators. Urafik kwanza.
 
Nimetanabaisha vizur kuwa namwitaji mke ambae kwa namna yoyote imethibitika hawezi kuzaa. Haijalishi sabab za hali hiyo. Sikusema uko vizuri tu uje ukae nikubanie kuzaa kisa ndoa. Msinichambue kwa tafsir hasi bandiko halina ubinafs wowote. Mana tayar mwenzako anakuwa hivyo simfany mimi. Wanawake muache kukariri kwamba mnapendwa ili mzae tu. Nyie si incubators. Urafik kwanza.
Ungesema habari za wanawake sio incubators while you don’t have a child of your own blood ingesound poa, but nah
 
Niliwai kuweka offer yangu humu kuwa nahitaji kuoa lakin mke asiwe na uwezo kwa namna yoyote kuzaa. Nitampenda mno. Nina watoto 2 tayar. Mama zao walishaolewa zaman huko. Sitak kuongeza kamwe lakin mke namwitaj kwa sabab za nje ya kupata mtoto. Zaid isiwe ana mtoto mwingine huko. Awe Mtanzania. Awe zaid ya 30. Niko 40. Kwakwel hatajuta kuwa mke wangu kipenz.
Ndugu, are you serious ?, bado unalo hilo hitaji ?.
 
Back
Top Bottom