Kwa sababu anamwoa kwa sababu si kwa upendo, sababu zake binafsi, hata mimi ni tasa(according to social construction) lakini siwezi kukubali offer kama hiyo.
Ndoa msingi wake ni upendo, upendo ni nini
1 Wakorintho 13:4-7 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
4 Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno.
5 Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. 6 Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. 7 Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote.