Nimemkosa mke wa kuoa asiyeweza kuzaa

Nimemkosa mke wa kuoa asiyeweza kuzaa

Cjui kwa kweli kiundani
Wanawake wa mkoa wa singida unawajua wewe ?!, wale wana uwezo wa kumnyang'anya mtu mtoto , huwa wanaamini mtoto ni wa mwanamke na anaweza kumfanyia lolote bila kuuliza/kushirikisha baba wa mtoto.
 
mbinafsi wewe,
wewe una watoto wawili alafu unataka mke ambae hana watoto na asieweza kuzaa loh!
ubaki ivo ivo usioe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinaitwa comprehensive reading yan kusoma kwa kutafakar kwa kina. Nilisema yule ambae kwa sabab zozote zile amethibitika hawez kuzaa kabsa. Sikusema kwa alie mzima na akuje nimtoe kizaz au ajibane. We ndo mbinafs unayetaka asiyeweza kuzaa kuwa na haki ya kuolewa na kupendwa kama mke. Kuna sabab nying mtu anakuwa vile ikiwemo ajar au maumbile au madhara ya ugonjwa flan.
 
Wewe hutaki watoto ila ndugu zako je? Hawatanisimanga nisipoonesha dalili ya kubeba mimba? Hao watoto wako hawatatumia ugumba wangu kunitesa? [emoji848] Nauliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafute mwanamke then mshauriane mtumie family planning zipo hadi za miaka 10 yaan ni ww tu, na ukitaka kustop mda wowote wakat unatumia unastop then mnapata mtoto, easy like that bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mganga kakupa sharti gumu sana anakutaftia sababu ushindwe

Sent using Gun Trigger
 
Back
Top Bottom