Hapo u selfish huko WAP kama akiamua aoe tasa ?So selfish na usipate milele
Kwa sababu anamwoa kwa sababu si kwa upendo, sababu zake binafsi, hata mimi ni tasa(according to social construction) lakini siwezi kukubali offer kama hiyo.
Haa😳😳 siwezi hata kwa billion juu najua maana ya thamani ya mwanadamNenda kamsikilize hoja yake,,,
Nahisi kbsa kwako kaokota dodo
Mmmh nadhani tumetofautiana mitazamo! Ni sawa!Mkuu nadhan hujasoma ukamuelewa vzr mbn swal la upendo jamaa kalielezea vzr kbs
Kataa maneno uskatae wito,,, sometimes you can’t write everything in mind in order to be understood perfectly..Haa😳😳 siwezi hata kwa billion juu najua maana ya thamani ya mwanadam
Ni kweli Gyole, uko sahihi.Ndoa za masharti hizi hapana, yaani wewe uwe na watoto mwenzio hana, hakuna asiyependa watoto, na kwa mwanamke kukata tamaa hadi 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesema habari za wanawake sio incubators while you don’t have a child of your own blood ingesound poa, but nahNimetanabaisha vizur kuwa namwitaji mke ambae kwa namna yoyote imethibitika hawezi kuzaa. Haijalishi sabab za hali hiyo. Sikusema uko vizuri tu uje ukae nikubanie kuzaa kisa ndoa. Msinichambue kwa tafsir hasi bandiko halina ubinafs wowote. Mana tayar mwenzako anakuwa hivyo simfany mimi. Wanawake muache kukariri kwamba mnapendwa ili mzae tu. Nyie si incubators. Urafik kwanza.
Ndugu, are you serious ?, bado unalo hilo hitaji ?.Niliwai kuweka offer yangu humu kuwa nahitaji kuoa lakin mke asiwe na uwezo kwa namna yoyote kuzaa. Nitampenda mno. Nina watoto 2 tayar. Mama zao walishaolewa zaman huko. Sitak kuongeza kamwe lakin mke namwitaj kwa sabab za nje ya kupata mtoto. Zaid isiwe ana mtoto mwingine huko. Awe Mtanzania. Awe zaid ya 30. Niko 40. Kwakwel hatajuta kuwa mke wangu kipenz.