Nimemkosa mke wa kuoa asiyeweza kuzaa

Ungesema habari za wanawake sio incubators while you don’t have a child of your own blood ingesound poa, but nah
Hakuna sehemu kalazimisha mtu na maadam ushasema hata kwa bilioni huwezi basi muache afanye kile kinachomfaa. Sasa haya ya kumpangia cha kusema na kutosema unamkosea kwani hajatukana, hajavunja sheria, hajatenda dhambi, hajaharibu tamaduni.
 
7
Hamna ataekuja saivi maana itakua ni kuji verify kuwa yeye ni TASA

subiri ufike 50 wao watakua 40 atleast wapo wataojaribu sema "enough is enough"

hapo utampatiamo walau mmoja,mzeeke zenu kwa amani mwaya
Hahahah
 
Ina maama mrembo staa wetu Wema Sepenga, Mnyaturu grade A humuoni au huwezi kumfikia mkuu.?
 
Nadhan umemuelewa tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haraka haraka mleta uzi huna uwezo wa kukaa na wanawake...(kwanini wanawake wote uliozaa nao wameolewa (wamekukimbia)??
Bora tu ubaki mwenyewe as long as una watoto teyari,,kuoa sio fungu lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, are you serious ?, bado unalo hilo hitaji ?.
Ndio. Ingawa naona watu wameniona anti social. Sijui hata kwanini. Kumbe ndo mana kuna mwanamke anam surprise mpenz wake na habar ya NINA MIMBA anashangaa jamaa anamwakia. Tukubaliane ndoa ni urafiki zaid kuzid habar ya kuzalishana. Pia waliojiridhisha hawawez tena kupata mtoto wajue tupo tunaowapenda na tukaendana.
 
Pole🙏🙏
Hakuna sehemu kalazimisha mtu na maadam ushasema hata kwa bilioni huwezi basi muache afanye kile kinachomfaa. Sasa haya ya kumpangia cha kusema na kutosema unamkosea kwani hajatukana, hajavunja sheria, hajatenda dhambi, hajaharibu tamaduni.
 
Kwani client3 shida iko wapi jamaa akiwa na mtoto akataka mwanamke ambae hana uwezo wa kudhaa ?

Au mwanamke ukiwa tasa kwenu ni mwiko kuelewa ? Hasa kwa wenye watoto ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ameoa TASA kwa kudhibitika kabisaa kama ilivyokuwa kwa Serai mkewe Ibrahim, 'bahati mbaya kwa mume' tumbo likafunguliwa akashika mimba ndoa itavunjika maana msingi wa ndoa uko kwenye ‘utasa’
 
Nataka kuongea na dada mmoja ambaye naona atakufaa, uliweka sharti la kabila ?.
 
mbinafsi wewe,
wewe una watoto wawili alafu unataka mke ambae hana watoto na asieweza kuzaa loh!
ubaki ivo ivo usioe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…