Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Wanawake wa mkoa wa singida unawajua wewe ?!, wale wana uwezo wa kumnyang'anya mtu mtoto , huwa wanaamini mtoto ni wa mwanamke na anaweza kumfanyia lolote bila kuuliza/kushirikisha baba wa mtoto.Cjui kwa kweli kiundani
Chapa Singida ile Grade A, Mnyaturu!
Kuna kitu kinaitwa comprehensive reading yan kusoma kwa kutafakar kwa kina. Nilisema yule ambae kwa sabab zozote zile amethibitika hawez kuzaa kabsa. Sikusema kwa alie mzima na akuje nimtoe kizaz au ajibane. We ndo mbinafs unayetaka asiyeweza kuzaa kuwa na haki ya kuolewa na kupendwa kama mke. Kuna sabab nying mtu anakuwa vile ikiwemo ajar au maumbile au madhara ya ugonjwa flan.mbinafsi wewe,
wewe una watoto wawili alafu unataka mke ambae hana watoto na asieweza kuzaa loh!
ubaki ivo ivo usioe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah Grade B akina Haika hao Pesa mbele kama Tai!
Hahahahah Grade B akina Haika hao Pesa mbele kama Tai!
Nyie