Nimemkumbuka huyu, yupo wapi?

Nimemkumbuka huyu, yupo wapi?

Michael mbano

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2022
Posts
820
Reaction score
570
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa dj DON NAMILISON yupo wapi sasa?Nakumbuka maandiko yake ya kutisha,kejeli,kujiamini na mara ya mwisho akasema anataka kwenda nje.Yu wapi huyu.
 
Vip mpango wa kumuoa binti wa Obama awe shemeji yetu umefikia wapi Mkuu, sie wabongo si unajua tunataka tuanze kuvimba sie Mashemeji wa White House ya USA
amini amini nakwambia Civilian Coin ajawai kushindwa kwenye mapambano.hata sisi mashabiki wake tunalijua hilo.
 
Ndio msanii wa ngazi ya kimataifa Afrika nzima sijawahi ona.
Ana ile ngoma yake kaimba English mle kuna jeneza. Ile video ile matata sana achana na vivideo vya Godfather aisee. Kuna shots za kiwango cha Hollywood.
Halafu huwezi kukuta jamaa anaongelea views za YouTube kama hawa akina sijui mayonaiz.
 
Ndio msanii wa ngazi ya kimataifa Afrika nzima sijawahi ona.
Ana ile ngoma yake kaimba English mle kuna jeneza. Ile video ile matata sana achana na video vya Godfather aisee. Kuna shots za kiwango cha Hollywood.
Halafu huwezi kukuta jamaa naongelea views za YouTube kama hawa akina sijui mayonaiz.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka Sana
Ahsante
 
🤣🤣🤣🤣 Acha basi
Usicheke mkuu. Wakina diamond wana la kujifunza toka kwa jamaa.
Show off na majigambo hayana maana kwenye kipaji halisi kama cha Don. Ni true definition ya talent + elimu. Hatumii nguvu lakini ona mashabiki zake hadi wanamwanzishia thread kwa kummiss maana ana mwaka hajadondosha ngoma mpya.
Anayepinga apinge lakini wenye kuufahamu mziki tunaelewa.
 
images (46).jpeg


Don kama Don...!
 
Back
Top Bottom