Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Habari,

Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.

Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa mama Yuko wapi na kwanini hakai nyumban.... Aisey asikwambie mtu nnawakat mgumu mnoo ukizingatia hatujazoea kudanganya watoto.

Nikiingia chumbani ndo kabisaa upweke ninaopata hadi nakonda na hamu ya kula inaisha. Kila nikifikiria kuanzisha mahusiano mapya sioni na Wala sielewi kama ntapata mwanamke niliyemzoea Kama mke Wang.... Si Kama mzuri kuliko wengne ila nifundi kweli kweli[emoji180]. Nahisi. Imekua ngumu kwasababu mimi sio wa michepuko ndio maana nateseka.

Nafiria kuhama nyumbani kwangu, watoto nipeleke kwa bibi yao mi nitafute chumba niishi kama bachelor Mana sitokua mazingira ya nyumban kwangu nilipozoea kua na mke wangu na watoto labda itanisaidia. Kwakweli sikutegemea ndoa inawezakuvunjika kirahisi hivi maana nilidhani Nina ndoa very strong (tulidhani tumewezakuchukuliana vyakutosha)

Separation sijambo rahisi wazee kama unadhani unaweza kuokoa ndoa yako anyhow jitahidi uokoe before too late. I missed her but Moyo wangu hauna Imani nae Tena nahisi nnahisi nnaweza fungwa kwa ajili yake.

Usiombe

Kumbe kweli ulikua umeoa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Guys mwanaume tafuta pesa uzae na ulee wanao maisha mazuri hili kuhusu NDOA tumepigwa asee ukishindwa basi tafuta katoto kabichi wewe una 40's afu uoe chap



Kwa hiyo huo ubichi ndio utampa uhakika wa maelewano na upendo au maturity ?!

Bila shaka ni zaidi ya hivyo ulivyoandika hapo!
 
Back
Top Bottom