Nimemkumbuka mpenzi wangu wa shuleni

Nimemkumbuka mpenzi wangu wa shuleni

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Nimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi,
Uhali gani mpenzi ,
Tokea mchana sijakuona ,
Umeshindaje,,,,, wangu .

Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu ni hadi nikuone wewe,moyo wangu ni mwepesi pale nilipokuona wewe , mzigo uliokuwa moyoni umeutua baada ya kusikia sauti yako .
Busu lako ndio faraja yangu, ukinikumbatia mwili wangu huchangamka na kuwa maridadi shuleni nafurahia masomo na mara ingine nakutaja wewe.

Je wakumbuka nilivyoadhibiwa kisa wewe??
Je unakumbuka nilikubali adhabu ya kuchimba kisiki kisa mwalimu alifuma barua yetu.
Katoto kazuri nakupenda sana natamani uwe mke wangu ukubwani.
Nishirikiane nawewe kulea watoto wetu kwa furaha .

Una Macho ya kurembua na kudunduliza mpenzi wewe unanipaga raha sana napagawa.

Marashi yako yananifanya niote niko bustanini nawewe tukisikia harufu za maua mbalimbali yaliyomo bustanini.

Cheko lako lanipa raha pale nisikiapo lanifariji kiasi cha mimi kuendelea kusikia sauti yako.

Kwani sauti yako ni nyoronyoro na humtoa nyoka pangoni.

Katoto kazuri nakupenda sana.....
I love u chukua ua hilo ndani ya hii barua kila unusapo ujue nakupenda .

Je yako ilikuwaje??
Tuambie kwa maana nimemmis sana huyu kaka aisee alikuwa one of the kind .......😍😘😘😘😘🤩🤩 Musah

Dedication hii kwake jamani
 
Tuambie kwa maana nimemmis sana huyu kaka aisee alikuwa one of the kind .......[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji2956][emoji2956] Musah

Dedication hii kwake jamani
Musah njoo ukumbushie huku bado ungalipo kichwani mwa katoto kazuri
 
Nimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi,
Uhali gani mpenzi ,
Tokea mchana sijakuona ,
Umeshindaje,,,,, wangu .

Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu ni hadi nikuone wewe,moyo wangu ni mwepesi pale nilipokuona wewe , mzigo uliokuwa moyoni umeutua baada ya kusikia sauti yako .
Busu lako ndio faraja yangu, ukinikumbatia mwili wangu huchangamka na kuwa maridadi shuleni nafurahia masomo na mara ingine nakutaja wewe.

Je wakumbuka nilivyoadhibiwa kisa wewe??
Je unakumbuka nilikubali adhabu ya kuchimba kisiki kisa mwalimu alifuma barua yetu.
Katoto kazuri nakupenda sana natamani uwe mke wangu ukubwani.
Nishirikiane nawewe kulea watoto wetu kwa furaha .

Una Macho ya kurembua na kudunduliza mpenzi wewe unanipaga raha sana napagawa.

Marashi yako yananifanya niote niko bustanini nawewe tukisikia harufu za maua mbalimbali yaliyomo bustanini.

Cheko lako lanipa raha pale nisikiapo lanifariji kiasi cha mimi kuendelea kusikia sauti yako.

Kwani sauti yako ni nyoronyoro na humtoa nyoka pangoni.

Katoto kazuri nakupenda sana.....
I love u chukua ua hilo ndani ya hii barua kila unusapo ujue nakupenda .

Je yako ilikuwaje??
Tuambie kwa maana nimemmis sana huyu kaka aisee alikuwa one of the kind .......😍😘😘😘😘🤩🤩 Musah

Dedication hii kwake jamani

Hii yote ni kwasababu ya kutosindikizwa hospital au kuna jambo lingine?
 
Raha ya mapenzi muanzie mbali mi bado ninae nakumbuka kipindi hicho nambeba kwenye baskeli nampeleka shuleni kwao

Na bado penzi lipo Kama limeanza Jana
 
Amka bidada kumekucha, usije ukakojoa kitandani...

Ngoma huku ndio kwanza wenye chama wanarudi na namba tunaendelea kuisoma kama kawaida.

Mapenzi sio wakati wake huu,, huyo uliyenaye ndio YUKO,, komaa nae huyo huyo..
 
Back
Top Bottom