Nilikuja kufaham kuwa simtendei mzee wangu haki, na ilikuwa mwishani kabisa. Ila naamini kuelekea mwisho wa maisha yake kuna jambo nilifanya. Tuwakumbuke pia baba zetu.Hakika tunawasahau sna kina baba
Umenikumbusha wazazi wangu ,nimejikuta asubuhi naingia kazini nikiwa moodless ,natamani wangekuwepo walau nipige simu kuwaambia nimeamka salama na Sasa naingia kazini .Kwanini kaka?Pole na samahani.
Mungu ndo mpangaji wa kila kitu,Nawapenda sn mkuuUmenikumbusha wazazi wangu ,nimejikuta asubuhi naingia kazini nikiwa moodless ,natamani wangekuwepo walau nipige simu kuwaambia nimeamka salama na Sasa naingia kazini .
Uwa naumia kila mtu atajapo wazazi wake hasa kuwajulia hali ninaanza kuwaza kwanini wangu waliniacha ? Kuna muda nipo kazini utaona workmate anaongea na mama yake au baba yake ,basi uwa nanyongonyea sana .
But kuwa na amani bro ,wapende sana wazazi wako na watunze wengine tulitamani wawepo Ila mapenzi yake Allah haikuwa .
Asante.ππ
tamuuuu bhana, ina maana ni jana tu umemkumbuka? unazingua sana mwambaKiukweli leo nimemkumbuka sana mama yangu,nampigia simu lakini bado nahisi sijafanya kitu.
I LOVE YOU MAMA,I wish ningekuwa na mahela nikupe kila utakacho.
Mungu akubariki hapo ulipo.
ok mkuu, habari ya siku mingi mingi? wasalimie ukiwapigia simu for meAaaah jamani siku zote namkumbuka,ila siku kadhaa hizi imekuwa sanaaaa
mie niko mzima wa afya, nashukuru uko poa kama mimiNdugu yangu namshukuru Mungu nipo ok, vip wewe u hali gani? Zimefika zimefika