Umenikumbusha wazazi wangu ,nimejikuta asubuhi naingia kazini nikiwa moodless ,natamani wangekuwepo walau nipige simu kuwaambia nimeamka salama na Sasa naingia kazini .
Uwa naumia kila mtu atajapo wazazi wake hasa kuwajulia hali ninaanza kuwaza kwanini wangu waliniacha ? Kuna muda nipo kazini utaona workmate anaongea na mama yake au baba yake ,basi uwa nanyongonyea sana .
But kuwa na amani bro ,wapende sana wazazi wako na watunze wengine tulitamani wawepo Ila mapenzi yake Allah haikuwa .
Asante.😭😭