Nimemkumbuka sana RC John Mhaville wa Dar es Salaam wakati tukiwa vijana, alikuwa hana mizaha awapo kazini au nyumbani

Nimemkumbuka sana RC John Mhaville wa Dar es Salaam wakati tukiwa vijana, alikuwa hana mizaha awapo kazini au nyumbani

Nadhani wakati wa RC Mhaville jijini Dsm mwanajf Pascal Mayalla ulikuwa tayari umeajiriwa RTD na kamanda Mrangi mzee wa Ova ulikuwa unauza Raba za mitumba tukiziita Raba mtoni enzi zile.

Kwa kweli sipati picha kama mzee Mhaville angekuwa ndiye RC wa Dsm nyakati hizi za Corona.
Mzee Mhaville alilimudu jiji aiseee!

Maendeleo hayana vyama!
Taifa la wajinga na mang'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom