Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Inawezekana chanzo ni wewe ila mpe mtaji
Msaidie hiyo biashara ni ngumu sana
Pia anahitaji ushauri nasaha
 
Inawezekana chanzo ni wewe ila mpe mtaji
Msaidie hiyo biashara ni ngumu sana
Pia anahitaji ushauri nasaha
Kama umeangalia akaunti yangu vile...
 
Ili iweje?
Ungemchukua ukapige naye story tu...na ungemlipa pesa yake.
Mimi niliwahi kumkuta ex wangu anafanya kazi bar kama barmaid......nikamhitaji kuondoka naye....akaniambi nikihitaji kusepa nae nikalipe kaunta elfu 5. Nikalipa nikasepa naye home. Alilia sana....tuliongea sana. Sikumfanya kitu...asubuhi nikampa chochote kitu akaondoka....japo alisema kama nataka k anipe.
 
Asingekubali angejuw namchora ukitilia maanani napajua kwao na ndugu zake
 
Hivyo na wewe acha kumchukia Baba yako!!!!! Mkuki kwa nguruwe?
 
Mademu wa kishua kama hao ukiwakuta wanafanya mambo kama hizo basi ujue home kuna shida kwenye malezi. Hawa watoto wetu inabidi tuwafundishe kufanya na kuthamini kazi halali.
 
Pole mkuu, hiyo inaitwa migongano ya kunguru.
Mmoja ni kunguru muuzaji na wapili kunguru mnunuzi
Kwa ujumla ninyi wote ni malaya[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu! Huyo ni mke wako
1. Wewe ndiye mwanaume wake wa kwanza.
2. Ulivyomuona kwa mara ya pili ulimpenda tena.
Mtafute mfunge ndoa nipate bibi..!🤸
 
Babu! Huyo ni mke wako
1. Wewe ndiye mwanaume wake wa kwanza.
2. Ulivyomuona kwa mara ya pili ulimpenda tena.
Mtafute mfunge ndoa nipate bibi..!🤸
Kwanini unapenda kufukua makaburi? acha marehemu thread wapumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…