Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana chanzo ni wewe ila mpe mtajiWeekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.
Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.
Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
Ungemchukua ukapige naye story tu...na ungemlipa pesa yake.Ili iweje?
Asingekubali angejuw namchora ukitilia maanani napajua kwao na ndugu zakeUngemchukua ukapige naye story tu...na ungemlipa pesa yake.
Mimi niliwahi kumkuta ex wangu anafanya kazi bar kama barmaid......nikamhitaji kuondoka naye....akaniambi nikihitaji kusepa nae nikalipe kaunta elfu 5. Nikalipa nikasepa naye home. Alilia sana....tuliongea sana. Sikumfanya kitu...asubuhi nikampa chochote kitu akaondoka....japo alisema kama nataka k anipe.
Hivyo na wewe acha kumchukia Baba yako!!!!! Mkuki kwa nguruwe?Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.
Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.
Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
VIP mliishia wapi ? Naomba muendekezo.Ili iweje?
kwani sasa hivi unamuhitaji au unamuhurumia tu kwa mtindo wake wa maisha!?Hapokei simu, hajibu sms, WhatsApp blocked.
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.
Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.
Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa WhatsApp. Hapa nilipo tangu juzi namtafuta hapokei simu.
Wanajiuza kwa jinsi ambayo hawajijui Kama wanajiuza na wanunuzi hawajui Kama wameuziwa ile huduma.Mbona wengi hawana kazi hawajiuzi?
RRONDO nilitania tu kaka😂Pole mkuu, hiyo inaitwa migongano ya kunguru.
Mmoja ni kunguru muuzaji na wapili kunguru mnunuzi
Kwa ujumla ninyi wote ni malaya[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app