Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau.

Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote ataejichanganya iwe fundisho kwa wengine.

Hawa ukisema uhangaike nao mahakamani wanauza ng'ombe kesi imeisha,ukisema uzozane nao wanaweza kukata na sime,nimeona njia nyepesi ni hii.

Nisaidieni jina la sumu yanyekuuwa taratibu tafadhari.Sumu inayopanda taratibu ng'ombe wakafie makwao.
 
Chukua asali pakaza mimea yako yote, halafu nenda baa kaa kaunta pale agiza bia ya baridi kwanza, maana nyama zitakuwa njiani huko ulikotoka.
😀
😀😀😀😀😀😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom