kingkimwe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 1,839 Reaction score 2,481 Dec 4, 2023 #141 Hakuna tabia ya kijinga kama kwenda kusema kwa mhusika... Af ukute jamaa ata asishtuke na ana mwambia mke wake flan atugombanisha et anasema kakuona guesthouse [emoji28][emoji28] Achana na mambo ya watu mzee
Hakuna tabia ya kijinga kama kwenda kusema kwa mhusika... Af ukute jamaa ata asishtuke na ana mwambia mke wake flan atugombanisha et anasema kakuona guesthouse [emoji28][emoji28] Achana na mambo ya watu mzee