Nimemmiss kyanaKyoMuhaya, plz mwambieni popote alipo!

Nimemmiss kyanaKyoMuhaya, plz mwambieni popote alipo!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,133
Hallo wanaJF!

Wapi alipo kyanaKyoMuhaya plz mwambieni nimemmiss sana! nakumbuka kwa namna moja ama nyingine alipatwa na mkono wa Mungu and God do no mistake, He take He give when He see a need to do so, plz be back now, we missed you alot!

Plz bidada njoo, tumekumis huku jukwaani!

Wako kwa niaba ya wengi,

=-=-=-=-=
TheDealer
 
Last edited by a moderator:
Kama nakumbuka vizuri huyu dada alikuwa na matatizo fulani
siku za karibuni.

Hata mimi namkumbuka pia.
 
Ujio wa Mjaruo! Umeondoka na mastaa wengi wa Jf!
 
Back
Top Bottom