Nimemmiss sana, Hayati John Pombe Magufuli

Mzee alikua safi sana
 
Mkuu umenena kwa usahihi sana najua wananchi wengi tumamkumbuka sana saaaaana yani
 
 
Anamisiwa zaidi na mkewe na watoto wake.
Ninyi wengine mnaleta uchawa tu.

Unaposema mtu bora zaidi kuzaliwa miaka ya 1900s baba na mama yako ni useless??
 
Magufuli alitufanya wanyonge wengi tukawa wafuatiliaji wa mambo ya kitaifa,mpaka mtaani utakuta watu wametulia wanaangalia Kwa umakini utiaji Saini sijui wa Korea na Tanzania.......
Pumzika Kwa Amani brother mbele yako nyuma yetu!!
Hajapatikana wa kuziba pengo lako Mzee!!
we salute you!!!
 
Yuaja mwingine aina ya Magu 2025 usiwe na shaka.

Yeye hataminya tu upinzani. Ila anakuja kumalizia kuweka misingi aliyoianza Magu!!
 
Kamtembelee huko kuzimu. nyama we!
 
Hakika tunamkumbuka kwa uwazi hii inaitwa deligency
 
Kwanini maraisi wanaoitwa John John huwa wanauwawa uongozini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…