kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Hawezi,mkewe mwenyewe anaonekana kamzidi ujanjamumewe atakuja kukuvalisha izo chupi
Ujinga wangu uko wapi haswa?We ndio mjinga
Invicible alikuwa Hana Masiala best Moderator everJF yetu ya miaka ile, enzi za falsafa ya GT. Huu uharo, Invincible angeshapita nao dakika sifuri. π
Invicible alikuwa Hana Masiala best Modarator ever
Sijui Kaenda Wapi siku hizi atunyoshee VijanaFasafa yake ya "Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako". π
JF inakua wenda walimpa majukumu mengine. Ni Robot yule.. πSijui Kaenda Wapi siku hizi atunyoshee Vijana
Ukute kuna kitu kinatafutwa indirect ili mhusika aseme alilazimishwa.mumewe atakuja kukuvalisha izo chupi
Hivi aliendaga wapi?Invicible alikuwa Hana Masiala best Moderator ever