Nimemnunulia mke wa mtu zawadi ya chupi,kazipokea

Invinsible Payge Mhariri Moderator Mhariri Bridger

Muwe mnatusaidia kutuondolea upuuzi kama huu humu. Miaka ya nyuma mlikuwa makini JF isitumike kuandika upuuzi kama huu. Mtusaidie jamani tunateseka.
 
Jf ya wajongwe vs mavijana ya hovyo yasiyo na mchango wa maana, kizazi cha kichawa kisicho na maadili.
 
kwa kweli wake za watu wanasumbua mnoo , sa hv kama umeoa we angalia status ya familia yako tuu bas usijihangaishe na mke kabisa utakufa na pressure , wanaliwa mno hawa viumbe !! juzi manzi mmoja akanambia twende leo salon ya kike ukasikilize wake za watu wanavyocheat waume zao , basi bhana nikaongozana naye mi nikakaa tuu mwanzoni yeye akaingia ndani niliyoyasikia babu inaktisha tamaa sana kama hujaoa !!! nikagundua ukioa jambo la msingi ukipata watoto pima DNA wote ,

Vumilia yote ila sio kulea mtoto sio damu yako , mengine usiyaweke moyoni sana , wanaliwa mno kitaa hawa viumbe
 
Wakati unanunua hiyo zawadi ulikuwa na picha gani kichwani kwako😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…