Nimemnyang'anya 'beki tatu' simu, je nimekosea?

Nimemnyang'anya 'beki tatu' simu, je nimekosea?

Pole sana mkuu ila mi nakuomba tumia busala namin hiyo athabu ya kuchukua cm kuna kitu amejifunza sasa we mludishie ila mpe elimu ya kutosha na umuonye kusudi apate jua madhala yake.huyo sawa na mdogo wako au mwanao.

actually ni mwanangu, na nimefanya hivyo kwa nia njema kabisa.
 
si ndo hapo sasa....

utafikiri kuwa hausigeli basi umechomwa na sindano za kuua hisia nyingine....(lazima uwatetee maana una maslahi hapo)

hapo usikute hana hata ofu 'mtoto' wa watu....ndyoko ngoja siku ukute anakafundishe ka boy kako tabia mbaya..ohoo!!!
hao wasichana bana, handle them carefully!!

aisee mbona unanipa woga mwingine , khaaaa!
 
Mkuu that is way below official kima cha chini,pamoja na kwamba mimi sio mwanasheria lakini naamini kumlipa mtu below kima cha chini kisheria ina adhabu zake,na hii ni pamoja na kumnyima haki zake nyingine za msingi kama likizo,kutompa muda maalum wa kufanya kazi na kupumzika,kumpiga,kutomlipa stahili zake kwa wakati n.k

Mkuu kama hujui sheria zinasemaje bora ukae kimya. Uliza mshahara wa beki tatu anayekula na kulala kwa mwajiri anapaswa kulipwa sh ngapi ndo uje tena na hiyo comment yako!
 
Jihadhari na huyo binti, anaweza kuswaga kila kitu ndani. Siku akikuaga anarudi kijijini kwao badilisha vitasa vyako
 
sasa mke wako akisema unaona beki tatu wako kuliwa na wengine ili hali na wewe unamtafuna atakuwa na kosa? kwa jinsi hiyo inaonekana we unakula beki tatu wako, kama hauli basi inawezekana ulishamtaka au una mpango wa kumbenjua sasa unaona kama madogo wanafaidi kabla ya wewe...ukimbana sana atakuwa anawasaga watoto wako, ndio ukome kwakumbana beki3 wako....mpe uhuru wake bwana!!!!

hata sijui nikujibu nini? haya bwana ubaki salama
 
Umefanya vema kabisa ndugu yangu.Malezi ni magumu sana hasa ya watoto wa kike.Kwetu sisi tunaishi na wasichana wakubwa watatu akiwepo h/g na wapwa wawili,wote walimiliki simu,ikawa ni ubusy usiku.Kukawa na wageni wengi mchana.Siku moja baba yao aliwanyanganya wote watatu simu na akawaambia anayeona simu ina thamani kubwa ajiamishe,mie nilitetea sana wasinyang'anywe lakini alishikilia msimamo wake.
Huwezi amini huu ni mwezi wa sita wanaishi vizuri na hata wanazingatia masomo.
Mawasiliano yote ya nyumbani yanafanywa kwa kupitia Ttcl land line.Malezi no magumu kwa kweli kuliko mnavyofikiri
 
Hako katabia kapo sehemu nyingi sana, watu wachukue tahadhari, vivulana vinajimwaga ndani ya nyumba kwa uhuru kamili maana ratiba ya 'wazee' kurejea home inafahamika na kwa Dar yenye msongamano wa magari ndo basi kurudi ni usiku, dogo washakula uroda na kwenda zao wakiwa wameridhika kimwili na kimawazo.

Endelea kuwasha hiyo simu ikiwezekana wape sababu za kutowaambia waje home kwa mfano 'wazee' walikuwa likizo na sasa wamerejea kazini hivyo waje home, kutana na mmoja mpe 'haki' (mfueni wa nguvu) yake akawaonyeshe na kuwaambia wenzake wenye tabia kama hizo. Nyumbani sio genge la wahuni, hayo yakiendekezwa hata malaika watakatifu wanahama na shetani kuweka kiti chake cha enzi.
 
Wewe una lako jambo.............. mrudishie simu yake na umshauri kwamba awe na mpenzi mmoja na wawe wanatumia kondom na wakutane weekend tu. nyie mkiwa homu, yeye ndio aende kujiburudisha...............lol
 
Ndyoko,pole kwa yaliyokusibu. Usijiskie unashambuliwa lakini kiukweli umewaonea hao vijana,hasa kwa kumpa kelebu huyo handsome mbele ya mchuchu wake. Hgeli,tena wa umri mkubwa hivyo unahitaji kumshauri tu na ukiona humuwezi tafuta mwingine. Nakushauri yafuatayo:
1 Epuka kumhandle hgeli,ungemuachia mkeo hiyo biashara kabla hayajakukuta ya kukukuta.
2 Itakua uungwana kama mkeo akimuomba radhi hgeli kwa yaliyojiri na kukubaliana jinsi ya kuishi kwa amani na upendo kama awali
3 Kubalianeni j2 iwe family day tena bila hgeli. Afanye usafi tu na kuruhusiwa kwenda 'kusali' arudi saa kumi na moja jioni. Msimuulize alikotoka.pikeni wenyewe,mcheze na watoto wenu na kufurahia maisha. Dada anaweza kusaidia maandalizi j1 kumrahisishia mama.
4 kubalianeni kuwa wageni wake hawaruhusiwi nyumbani unless nyie mpo na mnakua informed b4. Mkiwapa heshima wageni wake hatajiskia kunyanyaswa (mfano special menu na mama au ww kuwahudumia vinywaji in person).
Kumbuka chuki kati yako na bf wake inaweza kupelekea kufanyiwa mbinu chafu.
 
Kuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege wakanasa. Tulitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zetu, kumbe huku nyuma beki tatu akawasiliana na bf wake, kavulana kakaja home, ndani ya robo saa nikarudi kweli nikakuta mvulana wamekaa sitiing room wanachat kwa raha zao.

Nilipoingia ndani waliduwaa, nadhani hawakutegemea, wasijue wafanye nini. Nilimkamata dogo nikampa vibao vya haja dogo akatoka mkuu akiugulia mambata niliochapa. Nikamgeukia beki tatu nikamnyang'anya simu nikamwambia nitampa atakapoenda likizo. Amenuna kishenzi lakini hana jinsi. Tangu siku ile, nimeambiwa sasa hivi hakuna hizo movement tofauti na awali alipokuwa na simu. Kuna siku moja nikaamua kuiwasha ile simu, walai, kuna kama vi boy friend vyake vitatu vinadai mbona siku hizi hawaambii waje home, kwani kuna nini au sisi waajiri wake tuko likizo kwa hiyo muda mwingi tuko home ndo maana hawaambii waje?

Wakuu jaribuni kuwa makiini na hawa beki tatu, kwani wengi wao hatuwajui tabia zao. Tunapokuwa kazini ni mengi yanatokea huku majumbani mwetu, mweeeeeeee! Chukueni tahadhari, huenda nyumba zetu zinageuka madanguro ya muda tunapokuwa makazini. Huenda nimefanya kosa kumpora mobile yake, lakini uamuzi wangu nahisi ni wa heri na ntamrudishia tu atapoenda likizo kwao Makete.

Mwenzenu nimefunguka akili, wewe je?
hapo kwenye red, kuna kitu kilitokea kwangu last week nikaamua siku naondoka kwenda kwa ofisi nikachukua simu ya beki 3, ni mpole sana huyo dada, ukirudi home anytime from saa 6 yupo nyumbani.
sasa nafika ofisini tu simu ikaanza kuita, sikuipokea, nikajua ikimiss tu atasms; na ndo ilivyokuwa. kakafwata ka-sms "Njoo kabla ya saa 3 maana leo nina safari kidogo nitakoka saa 5". Nilichoka!
 
kama ulisoma vizuri ni kile kidume ndo nilikichapa makofi sio beki tatu
ebu hii kesi muuzie mamsap hapo home akusaidie maana imekaa ki mama mama zaidi na mama anajua uschana na makuzi alishayapitia ataelewa nini aongee nae na wapi arekebike! we fanya kushauri tu itakapo bidi !
 
wanaompinga mtoa mada siwashangai naona hayajawakuta haya,mi yalishanikuta.kuna siku nilirudi home muda ambao sio wa kawaida nikamkuta housegirl na kijamaa ambacho nilishahisigi ana uhusiani nae ambaye alikua jirani yetu kabla hatujahamia hapa tunapoishi sasa.kila mara kipindi hicho ukimtuma dukani unamuona anajichekesha kwa huyo jamaa hapo nje.basi naona waliendelea kuwasiliana hadi tulipohama ndo siku hiyo namkuta ndani kwangu jamaa kajinafasi km kwake vile anakunywa juice wanaangalia movie.mida ya saa 7 ndo mida hiyo mwanangu anarudi kutoka shule hakuna kilichopikwa jikoni.aisee nilimpa vibao vya kufa mtu,japo huyo jamaa sikumgusa nilimwambia tu aende.mwisho wa mwezi msichana nilimuondoa.
 
Ndyoko,pole kwa yaliyokusibu. Usijiskie unashambuliwa lakini kiukweli umewaonea hao vijana,hasa kwa kumpa kelebu huyo handsome mbele ya mchuchu wake. Hgeli,tena wa umri mkubwa hivyo unahitaji kumshauri tu na ukiona humuwezi tafuta mwingine. Nakushauri yafuatayo:
1 Epuka kumhandle hgeli,ungemuachia mkeo hiyo biashara kabla hayajakukuta ya kukukuta.
2 Itakua uungwana kama mkeo akimuomba radhi hgeli kwa yaliyojiri na kukubaliana jinsi ya kuishi kwa amani na upendo kama awali
3 Kubalianeni j2 iwe family day tena bila hgeli. Afanye usafi tu na kuruhusiwa kwenda 'kusali' arudi saa kumi na moja jioni. Msimuulize alikotoka.pikeni wenyewe,mcheze na watoto wenu na kufurahia maisha. Dada anaweza kusaidia maandalizi j1 kumrahisishia mama.
4 kubalianeni kuwa wageni wake hawaruhusiwi nyumbani unless nyie mpo na mnakua informed b4. Mkiwapa heshima wageni wake hatajiskia kunyanyaswa (mfano special menu na mama au ww kuwahudumia vinywaji in person).
Kumbuka chuki kati yako na bf wake inaweza kupelekea kufanyiwa mbinu chafu.

Hizo nyimbo nimemuimbia utadhani ule wimbo wa 'hakunaga' ambao ni popular maharusini nowdays. Nakubali pengine kichapo nilokitoa kwa kale kavulana haikuwa sahihi. Hilo la kutokuelewa ndo lilonifanya nimpore simu na kukaa nayo kwa muda mpaka ntapofikiria vinginevyo
 
ebu hii kesi muuzie mamsap hapo home akusaidie maana imekaa ki mama mama zaidi na mama anajua uschana na makuzi alishayapitia ataelewa nini aongee nae na wapi arekebike! we fanya kushauri tu itakapo bidi !

Nimesha handle hii issue kwa mhusika nadhani wataongea/wameongea kwa lugha yao huenda wameelewana
 
Kuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege wakanasa. Tulitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zetu, kumbe huku nyuma beki tatu akawasiliana na bf wake, kavulana kakaja home, ndani ya robo saa nikarudi kweli nikakuta mvulana wamekaa sitiing room wanachat kwa raha zao.

Nilipoingia ndani waliduwaa, nadhani hawakutegemea, wasijue wafanye nini. Nilimkamata dogo nikampa vibao vya haja dogo akatoka mkuu akiugulia mambata niliochapa. Nikamgeukia beki tatu nikamnyang'anya simu nikamwambia nitampa atakapoenda likizo. Amenuna kishenzi lakini hana jinsi. Tangu siku ile, nimeambiwa sasa hivi hakuna hizo movement tofauti na awali alipokuwa na simu. Kuna siku moja nikaamua kuiwasha ile simu, walai, kuna kama vi boy friend vyake vitatu vinadai mbona siku hizi hawaambii waje home, kwani kuna nini au sisi waajiri wake tuko likizo kwa hiyo muda mwingi tuko home ndo maana hawaambii waje?

Wakuu jaribuni kuwa makiini na hawa beki tatu, kwani wengi wao hatuwajui tabia zao. Tunapokuwa kazini ni mengi yanatokea huku majumbani mwetu, mweeeeeeee! Chukueni tahadhari, huenda nyumba zetu zinageuka madanguro ya muda tunapokuwa makazini. Huenda nimefanya kosa kumpora mobile yake, lakini uamuzi wangu nahisi ni wa heri na ntamrudishia tu atapoenda likizo kwao Makete.

Mwenzenu nimefunguka akili, wewe je?
Hahaha hapo kwenye red sipatii picha dogo alivyosepa kama alikuja na hamu ya kupiga game ilikula upande wake............Na ulivyoweka msisitizo inaonekana ni kipigo cha haja kweli kimyakimya
 
Nahisi inategemea na umri wa binti mwenyewe. Kama ni mtu mzima ulitakiwa umweleweshe tuu kwa upole angekuelewa, kwani naye pia ana ashki ambazo anahitaji kutulizwa hivyo si vyema kumnyang'anya simu. Ulitakiwa umhakikishie kuwa hakuna tatizo kwa yeye kuwa na rafiki, ile si vyema kumleta nyumbani, na umuelimishe juu ya kujilinda.

Kama ni under 18, dah! God forbid huwezi kumruhusu kuanza ngono utotoni, kwani ni hakika kuwa anarubuniwa, I remember when I was at this age lol. Hivyo ulitakiwa umuadhibu kama mwanao au mdogo wako yeyote, na kumkanya vikali, ila si kumnyang'anya simu kwani ndio njia ya mawasiliano pindi uwapo mbali na nyumbani. Mweleweshe madhara ya ngono za utotoni mfano mimba, magonjwa (UKIMWI) na kadhalika. Asipokuelewa mrudishe kwao na uajiri mtu mzima atakayekuelewa.
 
Ukitaka beki3 wako anakae nyumban na kufanya kaz hayo mambo usimwingilie sana.
 
Kitendo cha kumnyang'anya simu sio kizuri ila jaribu kumrudhishia simu yake na kaa nae umpe elimu. Usichoke kumpa elimu kuwa analolifanya sio zuri kabisa na asiwaamini sana wanaokuja kufanya uchafu wao hapo nyumbani maana wengine hawajui back ground yao.
BTW turudi kwenye uhalisia. Wanaokuponda hapa wanatetea tuu kuwa housegal nae ni binadam na anahitaji huduma na kupata haki yake. Ila napenda kusema wazi. Nyumba ambayo ni familia yako inakaa mle ndani yapaswa kuheshimiwa na sio gheto au sehemu ambayo kila anayekuja anaweza kuja kufanyia mapenzi ndani yake. Ukimaanisha hayo hata huyo housegal anaweza kumkaribisha rafiki yake amlete jamaa yake waje wafanyie mapenzi ndani ya nyumba.
Nyumba ya familia yapaswa kuheshimiwa na huyo housegal ajue kuwa pale sio danguro anmbako anaweza kuwaita wanaume zake waje wafanyie mambo yao mle.
Nyumba ambayo ina watoto kushuhudia kile anachofanyiwa housegal ni mbaya sana. Lazima housegal awape heshima watoto wadogo walioko mle ndani. Wengi wao wakishatoka kufanya mambo yao hata kuoga hawaogi wanakimbilia kuwabeba watoto na kuwapa chakula au kuwabembeleza. Ni uchafu gani huo watoto wako wanaoushuhudia. Wengine wakati wanafanya mambo yao wanakuwa wamewaweka chini watoto wanashuhudia kinachofanyika au hata milango haifungwi wakati wanafanya hayo. Jifikirie watoto wako wanajifuynza nini wanapoona kile kinachofanyika.
Usalama wa nyumba yako uko wapi iwapo house gal analeta wanaume kila mara wakati wewe haupo. Unawaamini vipi hao vidume wanaoletwa na house gal ndani ya nyumba yako.
Tusilaumu na kumpa tuu haki zake housegal ila tuangalie upande wa pili wa shilingi kuhusu watoto wetu wanajifunza nini, usalama wa nyumba zetu na vile vile heshima ya nyumba yako.
House gal kama ana hamu na kama anapewa siku nzima ya weekend ni bora awaambie vidume wake wakutane huko huko ila heshima ya nyumba ibaki pale pale na aiheshimu nyumba yako na sio kuifanya danguro au kile anachowafundisha watoto kisiwe cha ajabu
Ni maoni yangu hayo.
 
Hata mimi siwezi kubali nyumba yangu igeuzwe jangulo. ILa kwa kuwa h/girl ni mkubwa muwe mnampa off every sunday akamalize mihemko yake. Watu wengi tunawafuga ma h/girl kama kuku ndo maana mwisho wa siku wanacheza ndani humo humo. Mara kumi akafanye mambo yake huko huko nje; akija kwangu aoge aendelee na kazi.
 
Back
Top Bottom