Pole sana mkuu ila mi nakuomba tumia busala namin hiyo athabu ya kuchukua cm kuna kitu amejifunza sasa we mludishie ila mpe elimu ya kutosha na umuonye kusudi apate jua madhala yake.huyo sawa na mdogo wako au mwanao.
si ndo hapo sasa....
utafikiri kuwa hausigeli basi umechomwa na sindano za kuua hisia nyingine....(lazima uwatetee maana una maslahi hapo)
hapo usikute hana hata ofu 'mtoto' wa watu....ndyoko ngoja siku ukute anakafundishe ka boy kako tabia mbaya..ohoo!!!
hao wasichana bana, handle them carefully!!
Mkuu that is way below official kima cha chini,pamoja na kwamba mimi sio mwanasheria lakini naamini kumlipa mtu below kima cha chini kisheria ina adhabu zake,na hii ni pamoja na kumnyima haki zake nyingine za msingi kama likizo,kutompa muda maalum wa kufanya kazi na kupumzika,kumpiga,kutomlipa stahili zake kwa wakati n.k
sasa mke wako akisema unaona beki tatu wako kuliwa na wengine ili hali na wewe unamtafuna atakuwa na kosa? kwa jinsi hiyo inaonekana we unakula beki tatu wako, kama hauli basi inawezekana ulishamtaka au una mpango wa kumbenjua sasa unaona kama madogo wanafaidi kabla ya wewe...ukimbana sana atakuwa anawasaga watoto wako, ndio ukome kwakumbana beki3 wako....mpe uhuru wake bwana!!!!
hapo kwenye red, kuna kitu kilitokea kwangu last week nikaamua siku naondoka kwenda kwa ofisi nikachukua simu ya beki 3, ni mpole sana huyo dada, ukirudi home anytime from saa 6 yupo nyumbani.Kuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege wakanasa. Tulitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zetu, kumbe huku nyuma beki tatu akawasiliana na bf wake, kavulana kakaja home, ndani ya robo saa nikarudi kweli nikakuta mvulana wamekaa sitiing room wanachat kwa raha zao.
Nilipoingia ndani waliduwaa, nadhani hawakutegemea, wasijue wafanye nini. Nilimkamata dogo nikampa vibao vya haja dogo akatoka mkuu akiugulia mambata niliochapa. Nikamgeukia beki tatu nikamnyang'anya simu nikamwambia nitampa atakapoenda likizo. Amenuna kishenzi lakini hana jinsi. Tangu siku ile, nimeambiwa sasa hivi hakuna hizo movement tofauti na awali alipokuwa na simu. Kuna siku moja nikaamua kuiwasha ile simu, walai, kuna kama vi boy friend vyake vitatu vinadai mbona siku hizi hawaambii waje home, kwani kuna nini au sisi waajiri wake tuko likizo kwa hiyo muda mwingi tuko home ndo maana hawaambii waje?
Wakuu jaribuni kuwa makiini na hawa beki tatu, kwani wengi wao hatuwajui tabia zao. Tunapokuwa kazini ni mengi yanatokea huku majumbani mwetu, mweeeeeeee! Chukueni tahadhari, huenda nyumba zetu zinageuka madanguro ya muda tunapokuwa makazini. Huenda nimefanya kosa kumpora mobile yake, lakini uamuzi wangu nahisi ni wa heri na ntamrudishia tu atapoenda likizo kwao Makete.
Mwenzenu nimefunguka akili, wewe je?
ebu hii kesi muuzie mamsap hapo home akusaidie maana imekaa ki mama mama zaidi na mama anajua uschana na makuzi alishayapitia ataelewa nini aongee nae na wapi arekebike! we fanya kushauri tu itakapo bidi !kama ulisoma vizuri ni kile kidume ndo nilikichapa makofi sio beki tatu
Ndyoko,pole kwa yaliyokusibu. Usijiskie unashambuliwa lakini kiukweli umewaonea hao vijana,hasa kwa kumpa kelebu huyo handsome mbele ya mchuchu wake. Hgeli,tena wa umri mkubwa hivyo unahitaji kumshauri tu na ukiona humuwezi tafuta mwingine. Nakushauri yafuatayo:
1 Epuka kumhandle hgeli,ungemuachia mkeo hiyo biashara kabla hayajakukuta ya kukukuta.
2 Itakua uungwana kama mkeo akimuomba radhi hgeli kwa yaliyojiri na kukubaliana jinsi ya kuishi kwa amani na upendo kama awali
3 Kubalianeni j2 iwe family day tena bila hgeli. Afanye usafi tu na kuruhusiwa kwenda 'kusali' arudi saa kumi na moja jioni. Msimuulize alikotoka.pikeni wenyewe,mcheze na watoto wenu na kufurahia maisha. Dada anaweza kusaidia maandalizi j1 kumrahisishia mama.
4 kubalianeni kuwa wageni wake hawaruhusiwi nyumbani unless nyie mpo na mnakua informed b4. Mkiwapa heshima wageni wake hatajiskia kunyanyaswa (mfano special menu na mama au ww kuwahudumia vinywaji in person).
Kumbuka chuki kati yako na bf wake inaweza kupelekea kufanyiwa mbinu chafu.
ebu hii kesi muuzie mamsap hapo home akusaidie maana imekaa ki mama mama zaidi na mama anajua uschana na makuzi alishayapitia ataelewa nini aongee nae na wapi arekebike! we fanya kushauri tu itakapo bidi !
Hahaha hapo kwenye red sipatii picha dogo alivyosepa kama alikuja na hamu ya kupiga game ilikula upande wake............Na ulivyoweka msisitizo inaonekana ni kipigo cha haja kweli kimyakimyaKuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege wakanasa. Tulitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zetu, kumbe huku nyuma beki tatu akawasiliana na bf wake, kavulana kakaja home, ndani ya robo saa nikarudi kweli nikakuta mvulana wamekaa sitiing room wanachat kwa raha zao.