Nimemnyang'anya 'beki tatu' simu, je nimekosea?


Mhhh! Nadhani huu mfano uliotumika hapa hauna uhusiano na mada. Umesema simu ni ya kwake na kiboksi manyoya ni cha kwa kwake sasa mali ulizokuwa unaibiwa wewe ni zipi? Kama alikuwa anavi-entertain hivyo vivulana kwa kuvipa chakula na vinywaji kwa gharama zako sawa.
 

Hujala za uso kweli kutoka kwa mhishimiwa Ndyoko ka kile kiboifulendi???:focus:
 
Masikini_Jeuri; yaelekea limekugusa sana hili mkuu ndio eneo la mawindo yako nini..................

Wote mnaomsakama huyu mnatambua kuwa pamoja ni kuwa mfanayakazi lakini akishakuwa ndani ya nyumba anahesabiwa kama mtoto wa familia? hebu chukulia ni binti yako....................ungechukua hatua zipi?
Hapo kwenye blue mkuu ndo watu tunapishana. Hata kama siyo kumpiga, moja wapo ya adhabu ni kumuondolea privileges-simu. Kama jamaa ulishamkalisha na bado analeta vijana ndani nadhani naye pia atakuwa amemkosea heshima jamaa. Sidhana kwa kuwa ni binti mkubwa wa wa kuwa na b/friend basi nyumbani kwa jamaa ndo liwe genge la kukutania na hao vijana. Kwa vile ni H/girl watu wanasema hujamtendea haki, akiwa binti yako ndo analeta wanaume ndani sidhani kuna mtu angepinga kumchukulia hatua.
 

red and bolded: Aisee akili yako bado sana, hapo ndo umeongea nini sasa?
 
angekua ni binti yako mwenye umri wa miaka 25 kama huyu hgeli ungemtandika vibao bf wake?
mwenye binti hakosi mkwe,kama ww umemuoa mkeo na binti zako pia wataolewa tu!

 
mkuu mi nadhani kwa upande flani upo sawa kama unayosema ni kweli kuwa umeshamuonya khs kamchezo kake kwa maana ni makosa sana yey kufanyia kamchezo kake ndani kwako na hao wanaokulaumu wakumbuke nyumba yako c gest
 
Mruhusu mumeo am2ombe house girl siku moja moja, wazee wa zamani walifanya hivyo na kijakazi aliishi kwa utulivu kabisa.
 
simu umnyang'anye na makofi juu, looo wewe baba una nini
siku yaja utakuta kakabanika hako katoto kako kwenye oven
usiache kuyaleta hapa jamvini.
...du mtoto anaitwa katoto!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…