Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Nimegundua Mwenye huruma na pesa zangu ni mimi mwenyewe. Na nikiendelea kucheka na hawa wapumbavu sitafanya la maana miaka yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe mkuu ungempa tu na hiyo buku ya nauli sa kama ume mpa elfu 50 utashindwaje kumpa buku.Nimegundua Mwenye huruma na pesa zangu ni mimi mwenyewe. Na nikiendelea kuicheka na hawa wapumbavu sitafanya la maana miaka yote
Nilimpa ila nimegundua naishi na mtu mbinafsi sanaHehehe mkuu ungempa tu na hiyo buku ya nauli sa kama ume mpa elfu 50 utashindwaje kumpa buku.
Mwanamke kama hakutaki hukupa drama...Nimegundua Mwenye huruma na pesa zangu ni mimi mwenyewe. Na nikiendelea kucheka na hawa wapumbavu sitafanya la maana miaka yote