Nimempa elfu 50 na bado akanidai elfu moja ya nauli

Hahaa sa kwani hiyo alfu 50, ulikua umempa ya nauli....!?

We jamaa hovyo sana.

Nenda kasome ule uzi wa mama J, mama wawili, Irini na prisca, then leta mrejesho.
 
Nimegundua Mwenye huruma na pesa zangu ni mimi mwenyewe. Na nikiendelea kuicheka na hawa wapumbavu sitafanya la maana miaka yote
Hehehe mkuu ungempa tu na hiyo buku ya nauli sa kama ume mpa elfu 50 utashindwaje kumpa buku.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣,we nae acha lawama bwana....Sasa 50 haijakuuma buku ndio inakuuma ,,ungetuma hiyo 50 si ingekuwa ya kutolea tena hapo ilibidi umuongezee 1600+1000=2600tozo ya kutolea
 
Hawa viumbe ni shida aisee, kuna mmoja nilimtumia 40 hakujulishi kama amepata mpaka umpigie simu kumuuliza
 
Nimegundua Mwenye huruma na pesa zangu ni mimi mwenyewe. Na nikiendelea kucheka na hawa wapumbavu sitafanya la maana miaka yote
Mwanamke kama hakutaki hukupa drama...
Hiyo ni moja ya!

Stay away.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…