Nimempa mimba mama mwenye nyumba wangu

Sasa wewe ndiye baba mwenye nyumba! Peleka sadaka
 
Huko chumbani kwako yasikosekane mafuta.
 

Unatumi tatepa kwenye chai? Au jaba
 
Huyo ndio mkeo tena na wewe umekuwa father house.Ila kichwa yako ijiandae kuwa kibuyu cha father house wa ukweli.
 
Dogo kimbia hiyo nyumba haraka sana lasivyo utakuja upakwe wese na Elewa kwamba watu wa huko Wana hasira sana jiandae kwa lolote kurogwa au kupakwa wese.

Acheni mazoea na wake za watu.
 
Mmmmm kuna siku yako utaishia pabaya ....wahehe hao daaaa kaI sanaaa....kama unaweza kimbia kabla ya shule kufunguaaa ....utapigwa kitu hujawahi onaaa....
 

Baba mwenye nyumba anakuita ukachek movie juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…