Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Alaf acha kujisifia bana kuwa na watoto wa nje 7 sio sifa boy ujinga huo ww wazazi wako wange kuzaa nje waanze kutamba hivyoo acha upimbi ww subir mumewarud ukamuombe msamaha yeye kwanza kisha nfio umuombe mungu msamaha maana mungh hawez kusamehe
 
Subiri ikutokee puani kama yule wa Keko juzi alie katwa naniiii zikaachwa zile balls mbili tu.
 
Hamia chadema
 
Mwenye mke alinipa vitasa vya kutosha na SMS kibao za kuniloga niokote makopo jalalani na kunitishia kuniuwa jamaa alinitesa sana
 
Kufika polisi jamaa kaangusha kilio cha kufa mtu polisi wakawa wanashangaa wakamuuliza we unamtishia mwenzio kumuuwa unajifanya unalia Leo utaitambua serikali.
 
Jamaa akasema sawa tu mungu yupo huyu kampa mimba mke wangu halafu mnataka kunifunga mi namwachia mungu tu. Polisi wakawa wanaangaliana wakatuambia nendeni kesho mje aaubuhi tuyaongee, kesho tukaenda jamaa kama na mkewe na mkewe akathibitisha kweli nimempa mimba 'Nilichoka"
 
kwa upeo wangu hiyo ni hadithi uwezi kungonga mke wa mtu bila kujua .
pili watoto 7 unakaa chumba kimoja ? na mwingine ana kuja ? sio heshima wala adabu
fikiria wewe mkeo akupe mtoto sio wako , lazima upate punishiment kali sana
 
Mwambie akurudishie mimba yako.
Usiwe mpole kiasi hicho kumpa kila mtu.
Hakikisha unatembea na KY kila uendako
mkuu KY tena?,..ya nn sasa?...au ili akikutana na mume Wa hiyo Dada afirike bila maumivu ya utumbo mkubwa Wa kutoa uchafu nje ya mwili???[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu mimi kinachoniuma na kukuonena huruma, ni fununu kwamba Maumba ametoka Kule kwenye lile jengo letu pendwa
 
Sio mimi ninae sema
"Hana akili mtu alalaye na mwanamke"
Haya ndo madhara yake na makubwa zaidi yanakuja jiandae.
 
Mkuu mimi kinachoniuma na kukuonena huruma, ni fununu kwamba Maumba ametoka Kule kwenye lile jengo letu pendwa
Hahaa wewe jamaa huwaga unaniacha hoi sana kwa coment zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…