Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Mondi na Mobeto[emoji23]Mnunulie gari,,,
Kama kwa matunzo uko vizuri itabidi nikutafute na mimi[emoji12]Matunzo yenyewe mkuu hayana shida kabisa shida nimempa mimba mke wa mtu
Hana akili aziniye na mwanamke.Sijakuelewa mkuu
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Mme wake ni mmoja wa wale wanajeshi wetu wanaolinda na kuangalia usalama kule Congo.
Nasikia wanarudi hivi karibuni.
Msubili Mme mwenzako mshaulianeAmani iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Nilianza mazoea na mdogo mdogo na huyu dada ambaye sikujua kama kaoelewa au laa, kumbe kuna baadhi ya watu walikuwa wananionea huruma sana kwa ukaribu wangu na yule dada, wakijiuliza na wasipate majibu ya kwamba kwanini niko penzini na mke wa mtu tena bila kificho.
Kwakweli mimi yule dada nilimuuliza kuhusu kama ana mume lakini alikataa na kudai hana mume
Alikuwa ana kuja kufua nguo zangu na kufanya usafi gheto kama kawaida then napiga show la kufa mtu anaenda zake.
Sasa juzi kaja kunambia eti ana mimba yangu sasa mimi huwaga sikatai mimba maana hadi muda huu nina watoto kama 7 wote wa kuchapa mimba sehemu tofauti tofauti, baada ya kunambia hivyo nikamwambia hakuna shida zaa tu wangu.
Leo kanitumia SMS kaniambia hajui atakuja kumwambia nini mume wake, nikamuuliza kwani una mume akasema ndiyo nina mume sema sikukwambia aisee nimechoka mwenyewe wadau.
Nimemwambia mama mmoja hapa kanambia alikuwaga ananishangaa na kunihurumia sana kutembea na mke wa mtu, lakini mimi nimemwambia nilikuwa sijui jamani.
Kanihurumia sana na kanipa pole nyingi sana.
Ninalo mwaka huu wazee.
Naombeni ushauri wenu wadau nifanyeje.
LONDON BABY
Duh nakuona umefura kwa hasira alifuAlaf acha kujisifia bana kuwa na watoto wa nje 7 sio sifa boy ujinga huo ww wazazi wako wange kuzaa nje waanze kutamba hivyoo acha upimbi ww subir mumewarud ukamuombe msamaha yeye kwanza kisha nfio umuombe mungu msamaha maana mungh hawez kusamehe