Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Mme wake ni mmoja wa wale wanajeshi wetu wanaolinda na kuangalia usalama kule Congo.
Nasikia wanarudi hivi karibuni.
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Nilianza mazoea na mdogo mdogo na huyu dada ambaye sikujua kama kaoelewa au laa, kumbe kuna baadhi ya watu walikuwa wananionea huruma sana kwa ukaribu wangu na yule dada, wakijiuliza na wasipate majibu ya kwamba kwanini niko penzini na mke wa mtu tena bila kificho.

Kwakweli mimi yule dada nilimuuliza kuhusu kama ana mume lakini alikataa na kudai hana mume

Alikuwa ana kuja kufua nguo zangu na kufanya usafi gheto kama kawaida then napiga show la kufa mtu anaenda zake.

Sasa juzi kaja kunambia eti ana mimba yangu sasa mimi huwaga sikatai mimba maana hadi muda huu nina watoto kama 7 wote wa kuchapa mimba sehemu tofauti tofauti, baada ya kunambia hivyo nikamwambia hakuna shida zaa tu wangu.

Leo kanitumia SMS kaniambia hajui atakuja kumwambia nini mume wake, nikamuuliza kwani una mume akasema ndiyo nina mume sema sikukwambia aisee nimechoka mwenyewe wadau.

Nimemwambia mama mmoja hapa kanambia alikuwaga ananishangaa na kunihurumia sana kutembea na mke wa mtu, lakini mimi nimemwambia nilikuwa sijui jamani.


Kanihurumia sana na kanipa pole nyingi sana.

Ninalo mwaka huu wazee.

Naombeni ushauri wenu wadau nifanyeje.


LONDON BABY
Msubili Mme mwenzako mshauliane
 
We jamaa nikiona uzi wako nataman nikufanyaje sijui za ovyo ovyo sana ningekuwa Mod wewe ni wa life ban kabisa
 
We jamaa nikiona uzi wako nataman nikufanyaje sijui za ovyo ovyo sana ningekuwa Mod wewe ni wa life ban kabisa
Pole sana mkuu punguza hasira mungu alisema tupendane
 
Alaf acha kujisifia bana kuwa na watoto wa nje 7 sio sifa boy ujinga huo ww wazazi wako wange kuzaa nje waanze kutamba hivyoo acha upimbi ww subir mumewarud ukamuombe msamaha yeye kwanza kisha nfio umuombe mungu msamaha maana mungh hawez kusamehe
Duh nakuona umefura kwa hasira alifu
 
Back
Top Bottom