Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Usizini,kwa kuwa ushazini omba kwanza toba ya dhambi zako.

Ongea na Mungu usikie atakwambia nini
images000.jpeg
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Nilianza mazoea na mdogo mdogo na huyu dada ambaye sikujua kama kaoelewa au laa, kumbe kuna baadhi ya watu walikuwa wananionea huruma sana kwa ukaribu wangu na yule dada, wakijiuliza na wasipate majibu ya kwamba kwanini niko penzini na mke wa mtu tena bila kificho.

Kwakweli mimi yule dada nilimuuliza kuhusu kama ana mume lakini alikataa na kudai hana mume

Alikuwa ana kuja kufua nguo zangu na kufanya usafi gheto kama kawaida then napiga show la kufa mtu anaenda zake.

Sasa juzi kaja kunambia eti ana mimba yangu sasa mimi huwaga sikatai mimba maana hadi muda huu nina watoto kama 7 wote wa kuchapa mimba sehemu tofauti tofauti, baada ya kunambia hivyo nikamwambia hakuna shida zaa tu wangu.

Leo kanitumia SMS kaniambia hajui atakuja kumwambia nini mume wake, nikamuuliza kwani una mume akasema ndiyo nina mume sema sikukwambia aisee nimechoka mwenyewe wadau.

Nimemwambia mama mmoja hapa kanambia alikuwaga ananishangaa na kunihurumia sana kutembea na mke wa mtu, lakini mimi nimemwambia nilikuwa sijui jamani.


Kanihurumia sana na kanipa pole nyingi sana.

Ninalo mwaka huu wazee.

Naombeni ushauri wenu wadau nifanyeje.


LONDON BABY
Hakuna kitu kinauma kama kuchapiwa mke, kumtia mimba linauma zaidi.
 
Subiri akija ndomana wanasema wanaaoongoza kupata ukimwi ni wale wanaotembea na wake za watu na wanafunzi maana wanahisi wale wako salama ndomana mnawagonga dry, sasa mke wa mtu utamfanyaje bila condom?
 
mimi huwaga sikatai mimba maana hadi muda huu nina watoto kama 7 wote wa kuchapa mimba sehemu tofauti tofauti, baada ya kunambia hivyo nikamwambia hakuna shida zaa tu wangu.
LONDON BABY
Aiseeee!
 
Subiri akija ndomana wanasema wanaaoongoza kupata ukimwi ni wale wanaotembea na wake za watu na wanafunzi maana wanahisi wale wako salama ndomana mnawagonga dry, sasa mke wa mtu utamfanyaje bila condom?
Aliniambia hajaolewa mkuu
 
Mimi Niko Zimbabwe na Roma mkatoriki tuna uza karanga za diamond wanazipenda balaa hamia huku kiongozi achana na stress za bongo
 
Mimi Niko Zimbabwe na Roma mkatoriki tuna uza karanga za diamond wanazipenda balaa hamia huku kiongozi achana na stress za bongo
Kweli mkuu sasa nipande bus gan mkuu
 
Kitu nisichopenda in mke wangu kuwa na urafiki na jinsia ya kiume, wanawake no wepesi sana kuragaika, nwanaume unapwasa kuwa jasiri sana na kumkemea mke wako akikuletea habari eti huyu in rafiki yangu, hii inasaidia ikitokea kacheat basi kubali matokeo
 
Back
Top Bottom