Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Mama yangu, asije akawa mke wangu coz niko mbali naye yapata miezi 6 sasa, kuonana ni mpaka Dec 2017.
 
uko sahihi sana kiongoz lakin mimi huyu dada alisema hajaolewa
 
Kweli mkuu sasa nipande bus gan mkuu
Panda ndege uwahi kufika mkuu manake Jàmaa nahisi kesho kutwa anatia timu mjengoni alafu majirani kama nawaona vile walivyojiandaa kutupia maubuyu akyanani umeisha
Wahi alaka ndege ya kesho asubuhi

Kye kye kye nacheka kiingereza
 
Na weWe subiria kutolewa marinda. [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Panda ndege uwahi kufika mkuu manake Jàmaa nahisi kesho kutwa anatia timu mjengoni alafu majirani kama nawaona vile walivyojiandaa kutupia maubuyu akyanani umeisha
Wahi alaka ndege ya kesho asubuhi

Kye kye kye nacheka kiingereza
Poa mkuu kwahiyo utanipokea halale au bulawayo
 
Mshahara wa dhambi ni mauti. Wewe subiri huyo mjeda akupe mshahara wako wa risasi.moja tu hapo kifuani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…