Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Harafu baadae maskini wanakuja kukejeliwa hapa single mama huku mtu mzima na ufahamu wake kaharibu future ya huyu mtoto sidhani huyu binti kama Ana miaka 18, hakika wanaume mna roho mbaya sana imagine ndo binti yako.
Dhambi zingine ukizitenda kamwe hazikuachi salama kama siyo wewe basi vizazi vyako. Huwa tunajifanya jeuri tu lakini tukija kupatilizwa tunaanza kumlalamikia Mungu kumbe mbegu za uharibifu katika familia na vizazi vyetu tulishazipanda sisi wenyewe kwa tamaa zetu za kihayawani....
 
Muoe house girl haraka mwambie huyu ni mke mwenzako kama hautaki kuishi nae ondoka atalea watoto wewe nenda kadange kama unajiheshimu bakia hapa na watoto na mwenzako tutulie tulee familia.
 
Muachie nyumba ondoka.

Huo ndiyo ushauri bora kabisa.
 
Mpangishie chumba huyo dada mbadilidhie namba ya simu na mkienda mahakamani unakataa macho makavu kuwa hujawahi kulala na huyo binti
Me sijaelewa uhusiano wa mahakama na starehe za watu. Hapo anaetakiwa kulalamika ni house girl kuwa hapewi matunzo ya mtoto baada ya ujauzito ila sio mke kusema mume aondoke, hana adabu nini, yaani niondoke kwangu, aondoke yeye aende kwa wazazi wake ebo.
 
Mabinti wengi wanatoka familia zenye maisha sio mazuri sana akipata huo mshahara ndio anasaidia familia yake kwanini umuharibie maisha, huwa mnakuwa mnafikiria wangekuwa ndugu zenu. Tena hufai kuwa Mwalimu hata wanafunzi wako huenda unawala wewe
Hapo hajamuharibia bali kamuongezea ustawi wa jamii. Huoni sasa huyu amekuwa mke wa jamaa.
 
Wakati unafunga ndoa ulituomba ushauri? Au huu ushauri tunaouweka hapa huwa hamuoni?
 
Kwa mlio kwenye ndoa hata kama una michepuko nje au una pisi umeipangishia chumba nje fanya kila liwezekanalo mwanamke wako asijue hyo issue maana wanawake wana visasi vibaya sana bora ahisi tu ila asiwe na uhakika trust is only once hakuna second chance.
 
Kataa ualimi
 
Anaenda kudai talaka mahakamani
 
Mabinti wengi wanatoka familia zenye maisha sio mazuri sana akipata huo mshahara ndio anasaidia familia yake kwanini umuharibie maisha, huwa mnakuwa mnafikiria wangekuwa ndugu zenu. Tena hufai kuwa Mwalimu hata wanafunzi wako huenda unawala wewe
Wanafunzi waliwa tu, tena wale wazuri wote huanza na maticha.

Wenyewe wanaita teaching allowance.. si unajua ualimu hauna posho?
 
Mabinti wengi wanatoka familia zenye maisha sio mazuri sana akipata huo mshahara ndio anasaidia familia yake kwanini umuharibie maisha, huwa mnakuwa mnafikiria wangekuwa ndugu zenu. Tena hufai kuwa Mwalimu hata wanafunzi wako huenda unawala wewe
Hawa ndio wapumbavu wachache wanaofanya taaluma ya ualimu ionekane ya hovyo.
 
Yaani walimu wa kiume bhana, Mara muwape mimba wanafunzi Mara ma house girl😬😬 Hivi mpaka unavyokula mzigo kavu kavu hujui consequences zake? Alafu ndio mnatufundishia watoto wetu nyinyi moral and virtual in the society.
Poor mwalimu, linywe sasa
 
Angalia huyu naye alivyomalizia, we ushawatia wangapi hapo kwako? Ni sifa kwa mwanaume au ujinga. Binti amekuja kwaajiri ya kazi mumlioe mshahara wake wewe unamlaghai na kumharibia maisha yake kwa nyg mshindo wako.
Kama mama yoyoo hakuridhishi si umtafute mtu mzima mwenzio na si hawa watoto.
Tujitambue wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…