Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Mpwayungu njoo hukuMimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Ndilo wazo zuriSasa wewe unasubiri nini, ondoka anzisha maisha mapya
Kwani kumla house girls ni kosa la jonai au? Acha ufala weweMimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Hii ni Akili Kubwa.Mpangishie chumba huyo dada mbadilidhie namba ya simu na mkienda mahakamani unakataa macho makavu kuwa hujawahi kulala na huyo binti
😆 😆 😆Kweli kabisa mama Junia
😂😂Chomoa tuu kwani wakati unachomeka ulituuliza?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chomoka na house girl kwenye pikipiki...
Mzee baba Kiluvya siyo Dar. Hayo mengine hayanihusu maana ni ajali kaziniMimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Supa woman anatakiwa awe na kibunda na alipe ghali.Ambao hatufanyi sawa ni hii tabia ya kuwa na housigelo. Mnawadhulumu watoto wa watu kwa ubinafsi wenu.
Kwanza hili la housigelo liangaliwe. Housegelo wanapaswa kuwa watu wazima walipwe vizuri. Kama hamna hela hiyo basi kila mtu apambane na watoto wake mwenyewe.
Mnajiita superwoman huku mnawakandamiza watoto wa wenzenu tuu. Weka mwanamke mwenzio akulele watoto na umlipe vizuri. Aaje na aondoke zake ndio tuone huo usuperwoman wako.
Kiluvya ni Dar..daraja sijui mto ule bada ya kiluvya madukani ndo linatenganisha kiluvya na maili moja kibaha..Mzee baba Kiluvya siyo Dar. Hayo mengine hayanihusu maana ni ajali kazini
Pia hakuna k tamu Kama ya housegel kwasababu unaila kiwizi wizi.Jamani, hakuna house girl asiyeshika ujauzito.
Narudia, hakuna house girl Mwenye matatizo ya uzazi. Over
Ondoa Shaka kesi ndogo Sana hiyo mwenzako nilimpa Mama Mkwe ikawa house girl. Fanya hivi nenda nyumbani kwa House Girl kawaambie unataka kumuoa huyo binti na utampangia nyumba town hivyo House Girl aitwe kijijini Fasta Kisha fanya huo Mchakato uchwara utuoa baada ya kujifungua .Toa barua na vihela kidogo ukweni kwa house girl . Hatua inayofuata tengeneza bifu Kali Kati na wife wako na house Girl wasipatane. Kisha Mwambie wife huyo binti muongo tu wewe jifanye upo Upande wa wife wako bila house girl kujua. Kisheria Nyumba ya Wanandoa wote mna haki sawa Hana mamlaka ya kisheria kukufukuza .Kumbuka hata Kama hamjafunga ndoa Ila mmeishi Pamoja kwa miaka zaidi ya miwili na mkajenga hiyo Nyumba Basi unazo nguvu Sawa na huyo Mwanamke. Jifanye unampenda Mke wako zaidi ya kawaida.Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?