Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Mpwayungu njoo huku
 
Kwani kumla house girls ni kosa la jonai au? Acha ufala wewe
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Mzee baba Kiluvya siyo Dar. Hayo mengine hayanihusu maana ni ajali kazini
 
Walimu ndo tabia zao kutembea na ma house girl au wadogo wa wake zao.tamaa zimewazidi ,pambana na Hali yako mwalimu kijacho😂
 
Kataaa, sema umesingiziwa lakini nyuma ya pazia usimtelekeze huyo binti. Tofauti na hapo kazi unayo utakuja kulambishwa pasi ya moto ukiwa umelala soma alama za nyakati kama wife haeleweki mood yake ondoka, utakuja kukatwa mashine bure [emoji23][emoji23]
 
Ambao hatufanyi sawa ni hii tabia ya kuwa na housigelo. Mnawadhulumu watoto wa watu kwa ubinafsi wenu.
Kwanza hili la housigelo liangaliwe. Housegelo wanapaswa kuwa watu wazima walipwe vizuri. Kama hamna hela hiyo basi kila mtu apambane na watoto wake mwenyewe.

Mnajiita superwoman huku mnawakandamiza watoto wa wenzenu tuu. Weka mwanamke mwenzio akulele watoto na umlipe vizuri. Aaje na aondoke zake ndio tuone huo usuperwoman wako.
Supa woman anatakiwa awe na kibunda na alipe ghali.
 
Sheria haina hisia(non emotional).
Hicho kiumbe cha kwa house manager kina hadhi sawa na alicho/atakachobeba mke wako.
Hakuna cha wewe kuachika. Kwenda wapi?!
Mtoe tu ndan na umhudumie mjamzito mpya.
Ni sababu tu ya kuombea talaka akitaka.
 
Mzee baba Kiluvya siyo Dar. Hayo mengine hayanihusu maana ni ajali kazini
Kiluvya ni Dar..daraja sijui mto ule bada ya kiluvya madukani ndo linatenganisha kiluvya na maili moja kibaha..
 
Sasa ni nini hasa faida ya kuwa mwalimu ikiwa, pamoja na kwamba kuchepuka siyo excuse, bado umeshindwa kutumia kondom? Vipi kama house girl huyo angekuunga kwenye grid ya taifa? Why are you so careless? Hivi wanafunzi wako huwagongi kweli wewe??
 
Jamani, hakuna house girl asiyeshika ujauzito.

Narudia, hakuna house girl Mwenye matatizo ya uzazi. Over
Pia hakuna k tamu Kama ya housegel kwasababu unaila kiwizi wizi.
Lakini pia hawana make up Wala vipodozi. Kitu Kiko nechoroo especially Kama Ni kitu Cha njombe/iringa au upareni ndaani ndani huko.
 
Mimi Naona mruhusu wife naye atafute houseboy wake hasa Kama Ni jamaa Jirani na nyumba yenu,Wararuane mpaka wife wako naye apate ujauzito.Hapo Sasa itakuwa magoli ya penalty Ni moja-moja.Baada ya Hapo ndio mrudi mkae mezani mzungumze,maana na Yeye atakuwa hasira zimepungua.Wewe kwa Nini Lakini ulimfanyia Huyo wife ufedhuli mkubwa hivyo !
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Ondoa Shaka kesi ndogo Sana hiyo mwenzako nilimpa Mama Mkwe ikawa house girl. Fanya hivi nenda nyumbani kwa House Girl kawaambie unataka kumuoa huyo binti na utampangia nyumba town hivyo House Girl aitwe kijijini Fasta Kisha fanya huo Mchakato uchwara utuoa baada ya kujifungua .Toa barua na vihela kidogo ukweni kwa house girl . Hatua inayofuata tengeneza bifu Kali Kati na wife wako na house Girl wasipatane. Kisha Mwambie wife huyo binti muongo tu wewe jifanye upo Upande wa wife wako bila house girl kujua. Kisheria Nyumba ya Wanandoa wote mna haki sawa Hana mamlaka ya kisheria kukufukuza .Kumbuka hata Kama hamjafunga ndoa Ila mmeishi Pamoja kwa miaka zaidi ya miwili na mkajenga hiyo Nyumba Basi unazo nguvu Sawa na huyo Mwanamke. Jifanye unampenda Mke wako zaidi ya kawaida.
 
Back
Top Bottom