Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
basi basii punguza Hasiraaa ahahahMabinti wengi wanatoka familia zenye maisha sio mazuri sana akipata huo mshahara ndio anasaidia familia yake kwanini umuharibie maisha, huwa mnakuwa mnafikiria wangekuwa ndugu zenu. Tena hufai kuwa Mwalimu hata wanafunzi wako huenda unawala wewe
😂😂basi basii punguza Hasiraaa ahahah
Sheria ya ushahidi kifungu Cha 34 kitamuumbua.Mpangishie chumba huyo dada mbadilidhie namba ya simu na mkienda mahakamani unakataa macho makavu kuwa hujawahi kulala na huyo binti
Housegirl akikana mahakamani, keshi inafutwaSheria ya ushahidi kifungu Cha 34 kitamuumbua.
Hizi ndizo akili za mtu anaetakiwa kuwatoa ujinga watoto wetu. 😂😂Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Angempiga gori Tano kesi ingeisha...? Kama vipi ambake TU..🤣🤣🤣🤣Mfosi kumpiga pumbu brooo sema sasa ushamzea uwezi mpiga gori tano uwezo una nguvu zmeishia kwa beki tatu
Nyege hazina breki#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
Ulitushirikisha ulipokuwa ukipata uroda?
Malizana na Msala wako mwenyewe
Halafu huyu ni mwalimu ambae tunategemea awafunze watoto wetu
Eti kisingizio alikuwa anakutega,sasa kwanini usimwambie wife wako kuwa huyu ananitega,we mwenyewe utakuwa mlafi tu...Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.