Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Kwa akili hizi haishangazi walimu mnadharaulika kuliko taaluma nyingine iwayo yote.
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?

Wewe mbebe housegirl ondokeni mwacheni mama wa watu alee watoto wake kwa amani
Tena ondoka bila kushurtishwa
 
Mabinti wengi wanatoka familia zenye maisha sio mazuri sana akipata huo mshahara ndio anasaidia familia yake kwanini umuharibie maisha, huwa mnakuwa mnafikiria wangekuwa ndugu zenu. Tena hufai kuwa Mwalimu hata wanafunzi wako huenda unawala wewe
basi basii punguza Hasiraaa ahahah
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Hizi ndizo akili za mtu anaetakiwa kuwatoa ujinga watoto wetu. 😂😂
 
Ukiacha kichwa Cha chini kuendeshe...madhara yake ndio kama hayo sasa...Hilo umelikoroga utaamua sasa ulisubiri like ulinywe ama ulinywe hivyo hivyo likiwa la Moto Moto... Huyo house girl alikuwa na mnato Gani kumzidi mkeo...?
 
Hapo mvunje ndoa. Muuze nyumba mugawane pesa
Hata mkiishi pamoja na kusameheana mwisho wa siku mtauana tu
 
#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#

Ulitushirikisha ulipokuwa ukipata uroda?

Malizana na Msala wako mwenyewe

Halafu huyu ni mwalimu ambae tunategemea awafunze watoto wetu
Nyege hazina breki
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Eti kisingizio alikuwa anakutega,sasa kwanini usimwambie wife wako kuwa huyu ananitega,we mwenyewe utakuwa mlafi tu...
 
Zamani nilijua hakuna mtu mwenye akili nying km mwalim. Niliwapa nyota nyingi sana hawa watu. lakn kadiri muda unavoenda nmejikuta nachomoa nyota moja baada ya ingine kwa vitimbi vyao hawa watu.

saivi unatiaje mtoto wa watu mimba wkt unaeza kuepuka mimba kwa P2, kondom, vijiti na manjia mengne kibao km kuchomoa mb.oo kabla ujakojoa

hlf seriously hivi unaezaje kumtolea mdudu wako mdada anaekulelea wanao? daah
 
Back
Top Bottom