Walimu wa Tanzania kwa ngono hawajambo,maana na wao ni Watanzania hivyo hawapo nnje ya tabia za Watanzania.#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
Ulitushirikisha ulipokuwa ukipata uroda?
Malizana na Msala wako mwenyewe
Halafu huyu ni mwalimu ambae tunategemea awafunze watoto wetu
Chomoka na pikipiki......Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
[emoji419][emoji375][emoji375]Kama amekuoa yeye sawa ondoka tu, ila kama ni mke wako basi mwambie aondoke yeye utangaze ndoa na housgirl.
Halafu kama anakunyima tunda wewe endelea kula huyo mfanyakazi wenu. Wajawazito ni watemu sijapata kuona
Wewe! Acha kabusa.Mkuu si ungetumia condom.
Nitazidi kushangaa kama mpaka sasa hivi hujaondoka!Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Hakuna sheria hiyo mkiachana mnagawana katikati. Mwambie aende mahakamani then utasema alikuwa anakunyiima unyumba ndo maana ukalala na housegirl. Iambie mahakama kuwa mm siko tauari kuachana na mke wangu. Fukuza housegirl ila nyuma ya pazia elewana naye umpangishie na endelea kumhudumia na kula tunda huyo keshakuwa mke mdogo
Owana nae.Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Uislam ni nini? Bibi FaizaOwana nae.
Uislam mwema sana.
Walimu again.Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Sasa Mzeee mwenzangu nisikilize:Tatizo ni mimba kwa house girl,Muondoe hapo mpeleke kwa dada wa mbalii unaemuamini,Akifika huko utajua mtafanyaje ila huku home usiseme chochote,yakipita masaa 24 katoeni taarifa kituo cha polisi.
Anza kurekebisha home sasa na mama watoto. Sababu ndio shida yako unamtaka yeye na watoto wako.
Mwambie mama huyu dada alilipoka tu si unaona kakimbia. ile taarifa ya polisi itaitumia mahakamani kama wife bado anachachamaa.
Mambo yakienda sawa hakikisha bint anarudi kwao na umuhudumie mpaka akae sawa ikiwezekana mpe mtaji bila yeye kujua ili asihangaike.
Ondoka na house girl...mmMimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.