Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#

Ulitushirikisha ulipokuwa ukipata uroda?

Malizana na Msala wako mwenyewe

Halafu huyu ni mwalimu ambae tunategemea awafunze watoto wetu
Walimu wa Tanzania kwa ngono hawajambo,maana na wao ni Watanzania hivyo hawapo nnje ya tabia za Watanzania.
Mkuranga huko kuna walimu wa kiume wengi tuu wanatembea na wanafunzi wao, na mbaya zaidi walimu wa kike wanajua na kukaa kimyaa.
 
Hakuna sheria hiyo mkiachana mnagawana katikati. Mwambie aende mahakamani then utasema alikuwa anakunyiima unyumba ndo maana ukalala na housegirl. Iambie mahakama kuwa mm siko tauari kuachana na mke wangu. Fukuza housegirl ila nyuma ya pazia elewana naye umpangishie na endelea kumhudumia na kula tunda huyo keshakuwa mke mdogo
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Nitazidi kushangaa kama mpaka sasa hivi hujaondoka!
 
Hakuna sheria hiyo mkiachana mnagawana katikati. Mwambie aende mahakamani then utasema alikuwa anakunyiima unyumba ndo maana ukalala na housegirl. Iambie mahakama kuwa mm siko tauari kuachana na mke wangu. Fukuza housegirl ila nyuma ya pazia elewana naye umpangishie na endelea kumhudumia na kula tunda huyo keshakuwa mke mdogo

Atafungwa kwa sababu 1 hawezi kuthibitisha hilo kwamba alnymwa unyumba na labda kama amewah kumshtak kwa kosa hilo. 2 muulze umri wa beki 3 isije akajkuta anaenda miaka 30 kwa kosa la kubaka na kumpa mimba mtoto underage. 3 kwakuwa mwanamke mwenye kisu kikali basi mwanaume ajaribu kukaa mbal na mke kwa mda ili temper ishuke ya mke wake. Namshauri kijana asiwazie nyumba bali afikirie zaidi umri wa mtoto
Nb weng wanamdanganya amtoroshe mtoto ila mim naxema hilo ni kosa lingne atajtafutia. Wazaz wa mtoto watabanwa na wataxema ukwel
 
Tuanzie hapa kwanza tunapongea muda huu HG Yuko wapi?? The solution is entirely dependable from your response.🤔✍️

Kweli Mbususu haijawahi kumuacha mtu salama ni suala la muda tu? Yaani wewe usingedakwa Sasa, ingejulikana Hata Siku ukifa watoto wakiwa wanagawana mali.
 
Mahakamani kataa, Macho makavu sema...
"Mimi sina nguvu za kuzalisha" hio mimba sio yako, ongezea hata mke analijua hilo.
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Owana nae.

Uislam mwema sana.
 
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe though hatujaambiwa tunaupeleka wapi!
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Walimu again.
 
Ila wanawake wa siku hizi Sijui ni mwamko au ni nini ,

Hivi wanapata ujasiri wa kulianzisha na kutaka Mwanaume aondoke home amwache yeye na watoto?! [emoji848][emoji848]

Halafu huwa wanaambiana kabisa mwanamke usiondoke lianzishe yeye mkere hadi akate tama aondoke akuachie nyumba hiyo [emoji108][emoji108]
 
So far mume Ndiyo kichwa cha nyumba cha familia,

Sasa inafika kwamba yeye ndiye anatimuliwa inashangaza mno!
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?

Sasa Mzeee mwenzangu nisikilize:Tatizo ni mimba kwa house girl,Muondoe hapo mpeleke kwa dada wa mbalii unaemuamini,Akifika huko utajua mtafanyaje ila huku home usiseme chochote,yakipita masaa 24 katoeni taarifa kituo cha polisi.

Anza kurekebisha home sasa na mama watoto. Sababu ndio shida yako unamtaka yeye na watoto wako.

Mwambie mama huyu dada alilipoka tu si unaona kakimbia. ile taarifa ya polisi itaitumia mahakamani kama wife bado anachachamaa.

Mambo yakienda sawa hakikisha bint anarudi kwao na umuhudumie mpaka akae sawa ikiwezekana mpe mtaji bila yeye kujua ili asihangaike.
 
Ila uache tamaa mzee,mkeo unamtia aibu mtaani kisa mbususu,Piga mbali huko ukirudi unarudi na zawadi ya wife
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Ondoka na house girl...mm
 
Back
Top Bottom