Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kabisa wanashauriana ushenzi mtu anaekutunzia familia si ni sawa na ndugu yakoWale mabingwa wa kuhamasisha wenzao kwamba mdada wa kazi lazima aliwe ngoja waje wakushauri kama nao walifikia hatua kama hii yako.