LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 677
Hi ni sawa na kutangaza dawa ya kuongeza nguvu za kiume!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] umewaza mbali
Ni heri Mume angetumia plani nyingine kupata mtoto hata nnje ya ndoa lakini heshima ya Mke wake iwepo pale pale.Acha mungu aitwe Mungu ameonesha yule baba hakutenda haki
Kama vp mtag [emoji16]Nenda kwa yule dada anajiita 'Komando' baada ya miezi 6 utakua sio mwezetu.
hakuwa mgumba huyo,Huyo alikuwa na matatizo mengine yalipelekea kutobeba mimba.mwanamke akishadhibishwa na madaktari kwamba ni mgumba HATAWEZA KUZAA TENA.