Nimempa ujauzito mgumba

Nimempa ujauzito mgumba

Acha mungu aitwe Mungu ameonesha yule baba hakutenda haki
Ni heri Mume angetumia plani nyingine kupata mtoto hata nnje ya ndoa lakini heshima ya Mke wake iwepo pale pale.

Mke ana nafasi yake hata kama hujajaliwa kupata naye Mtoto lakini ndoa na iheshimiwe na Watu wote.
 
hakuwa mgumba huyo,Huyo alikuwa na matatizo mengine yalipelekea kutobeba mimba.mwanamke akishadhibishwa na madaktari kwamba ni mgumba HATAWEZA KUZAA TENA.
 
hakuwa mgumba huyo,Huyo alikuwa na matatizo mengine yalipelekea kutobeba mimba.mwanamke akishadhibishwa na madaktari kwamba ni mgumba HATAWEZA KUZAA TENA.

Hata yeye alishaambiwa na madaktari kuwa hawezi kuzaa
 
Back
Top Bottom