Nimempa ujauzito mke wa mtu

Nimempa ujauzito mke wa mtu

Mi sijaoa, bado msela

Njia pekee ya kumaliza swala hili ni kupatana na huyo mwenye mke.
Mueleze kila kitu, yaani tukio zima ili aelewe, na upatane nae, bila kujali kama ana ugomvi na mkewe.
Maana, huwezi kujua jamaa atachukua maamuzi gani, kwani kama ana ugomvi na mkewe, basi wewe ndio unaonekana kuwa ndio chanzo, au ndio unazidi kuchochea na kuingilia ndoa yao.
Hivyo kupatana nae na kumwomba msamaha ndio suluhisho la mkasa huu na inaweza kuwa ndio mwanzo wa yeye kupatana na mkewe.
Huu ni ushauri wangu tu, maamuzi ya mwisho ni yako mwenyewe.
 
Huna kosa kisheria kama mwanamke haku declare kua yeye ni mke wa mtu na ww hukujua kama ni mke wa mtu lakin you need to prove beyond reasonable doubt. Pia itategemea jamaa ata formulate vipi kesi yake.

Asante sana kwa maelezo yako mazuri
 
Njia pekee ya kumaliza swala hili ni kupatana na huyo mwenye mke.
Mueleze kila kitu, yaani tukio zima ili aelewe, na upatane nae, bila kujali kama ana ugomvi na mkewe.
Maana, huwezi kujua jamaa atachukua maamuzi gani, kwani kama ana ugomvi na mkewe, basi wewe ndio unaonekana kuwa ndio chanzo, au ndio unazidi kuchochea na kuingilia ndoa yao.
Hivyo kupatana nae na kumwomba msamaha ndio suluhisho la mkasa huu na inaweza kuwa ndio mwanzo wa yeye kupatana na mkewe.
Huu ni ushauri wangu tu, maamuzi ya mwisho ni yako mwenyewe.

Mkuu, asante sana...pamoja na kumweleza kuwa mkewe ndiye alitenifool kutoniambia ukweli kama ana mume, pamoja na mkewe kumweleza kuwa yeye ndio alinianza na kunificha kama ameolewa...Lakini jamaa hataki kusikia na anachosema ni kunipeleka mahakani. Kwa sasa mke hamtaki kbs mume wake.

Nimekuja kutaka msaada coz kuna mishe moja naanza kuifanya this month au baadae mwezi ujao, nahisi kama atanipeleka mahakamani nitapoteza baadhi ya mambo yangu..
 
Wewe jitahidi sana upatane naye, hakuna mtu asiyetaka suluhu.
Tumia watu wake wa karibu, wamshauri na kumsihi kuwa unataka suluhu, ataelewa tu.
Tumia watu kama hao kutoka upande wako pia, itasaidia sana.
Tafuta suluhu hii kwa bidii sana maana hakuna njia nyingine ninayoiona hapa.
 
Asante sana mkuu, nitafanyia kazi ushauri wako
 
Mkuu, asante sana...pamoja na kumweleza kuwa mkewe ndiye alitenifool kutoniambia ukweli kama ana mume, pamoja na mkewe kumweleza kuwa yeye ndio alinianza na kunificha kama ameolewa...Lakini jamaa hataki kusikia na anachosema ni kunipeleka mahakani. Kwa sasa mke hamtaki kbs mume wake.

Nimekuja kutaka msaada coz kuna mishe moja naanza kuifanya this month au baadae mwezi ujao, nahisi kama atanipeleka mahakamani nitapoteza baadhi ya mambo yangu..

Usiogope hata kidogo huna kosa, hujabaka wala kumrubuni kimapenzi ni yeye kakufuata kwa hiari yake. Wewe endelea na mishemishe zako usijipe stress hata kidogo huna kosa kisheria. Nimeshuhudia kesi kama hii jamaa aliachiwa huru. Ila walipimwa DNA test confirm kama mtoto ni wake baada ya confirmation jamaa aliambiwa na mahakama kua ahudumie mtoto.
 
Asante tena asante sana kwa kunifungua, mi sio mtaalamu wa sheria nashukuru sana kwa kunipa kujiamini...asante sana
 
Nahisi kisheria huenda ukafaulu,ila mkuu umejiandaaje na kupigwa kipapai!
Maswala ya mimba yanauma sana!au uko fiti!
 
Najua inauma sana na hata ningelijua kabla kuwa ni mke wa mtu nisingefanya huo ujinga...

Zaidi ya kunipeleka mahakamani sifikiri kama kuna kingine anaweza kunifanya labda aniloge
 
Ndicho nilichomaanisha hicho mkuu!
 
Mamahakani utautoa huo ushahidi Kama Kweli mwanamke ndo aliyekutongoza wewe uone Kama huo utetezi utakutoa. Ni bora ukomae tu kwamba hakuwahi kukuambia Kama kaolewa kuliko kudai alikutongoza kwa nini hukukataa?
 
Mkuu asante kwa ushauri
 
Mi naona michango mingi ni kumpa mwongozp huyo mzinzi. Na je mbona hamjatoa mawazo kuhusu maisha ya mtoto huyo atakaezaliwa??
 
Habari zenu wanajukwaa.
Sakata hili limenitokea karibuni kibaya zaidi mumewe akajua mimba ni yangu...Sasa jamaa ananitafuta na kutaka kunishtaki, je nina mashtaka ya kujibu

Sijakuelewa vizuri....umepiga mimba ya mke wa mtu? Kama ni hivyo mbona fasta tu unatakiwa ufunguliwe mashtaka!!....Yaani umemdhuru mtu maungo yake. Lakini kama kwenye maelezo yako tatizo ni lugha yaani labda unamaana nyingine, mfano kumtunga mimba mke wa mtu.... hapo jiandae kushtakiwa kwa kosa la kuzini na mke wa mtu na kumtunga mimba. Hayo ya kisheria lakini huyo mumewe atakachokufanyia sidhani kama utapenda tukielewe....jipange kidume.
 
Kama uyasemayo ni kweli basi leo nitalala usingizi mzito sana

Mkuu, hebu chukua japo dakika 1 kama ile inayotumika kumkumbuka marehemu kabla ya kuanza shughuli ya Kitaifa au kijamii. Fikiria kama huyo uliyemfanyia hivyo ingekuwa ni mkeo au mdogo wako kafanyiwa hivyo, halafu jamaa aliyefanya hivyo anajitapa kwenye mitandao, kwanza kimaadili, unapata wapi akili ya kutembea na mke wa mtu, kumpa mimba na kuja kujitapa kwenye mitandao badala ya kuhakikisha kuwa inakuwa siri yenu wawili, na je, umesahau kuwa hakuna magonjwa ? Zamani hizo zilikuwa sifa kweli, lakini siku hizi watu wakisikia unajisifia kuwa umpiga mimba mwanamke asiye mke wako wanashtuka, kwa sanabu kama umpatia mimba, ina maana hukutumia kinga na kama hukutumia kinga kuna iwezekana wa kuambukizwa UKIMWI au hata homa ya ini ambayo hata ARV haina. Aidha, ukumbuke kuwa watu wengine wana visasi vya ajabu, unaweza mfanyia kitendo kama hicho akatafuta watu wakakufanyia kitu mbaya kama vile kuku...f.ra, kukupiga, kukuchomea ndani ya nyumba, yaani wewe acha tu chezea maisha ya watu, halafu onyesha dharau kwa kujitapa kwenye mitandao utakufa siku sio zako. Kama ni mimi nauza uwanja wangu wa Bunju, halafu pesa yote inaishia kwako tuone, utaf..rwa halafu picha zinasambazwa mtaani kwa kama hutahama; Takr care !!
 
Mi naona michango mingi ni kumpa mwongozp huyo mzinzi. Na je mbona hamjatoa mawazo kuhusu maisha ya mtoto huyo atakaezaliwa??

Mkuu kuna Mzinzi fulani alishawahi kuzini na mke watu hivyo hivyo, sasa tatizo huyo mwenye mke alikuwa jambazi na kwa muda huo alikuwa jeala, alipotoka jela huyo mzinzi hatujui alikufaje maana aliokotwa asubuhi akiwa ameuawa, na kuhusu mtoto yaani kilichotokea huwezi amini, baadaye alipolipotea na hajawahi kuonekana mpaka leo kwa hiyo, unapoenda na mke wa mtu na kuonyesha madharau, elewa unakoelekea sio kuzuri, kuna koo zenye ushiriano sana, hata kama uko mjini mtu atatumwa kutoka kijijini kuja kutoa onyo kwa watu wenye tabia kama zako, chezea binadamu wewe !!
 
Back
Top Bottom