hk20
Member
- Aug 1, 2020
- 54
- 75
Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
MREJESHO:
Nimekutana na msichana, tukapima nikajihakikishia ni kweli amepata. Baada ya hapo tukazungumza vitu kadhaa, Mimi nilimwambia uhusiano na future itakua Kwa mtoto tu. Ila baada ya kusikia hivyo alikasirika na kuondoka, Kani block namba zote na sehemu zote. Nimefanya jitihada ya kumtafuta Kwa namba ngeni akipokea anasema hataki mawasiliano na Mimi Kwasasa, Hapo imekaaje wakuu!!. Maana alisepa ghafla na nilidhamiria nikimkuta nayo tupashe kipolo😊.
Wakuu Leo jun 25, amenitumia hizi jumbe kwamba nimtumie laki 1, huyu mtu Kani block, nimemwambia unblock na anitumie picha ya ultrasound kwanza, ila hakuna alichofanya Hadi sasa, na hii typing kama sio yake