Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wengine tunahangaika kupata watoto dah 😢 life is not fairView attachment 2996940Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.
Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
MREJESHO:
Nimekutana na msichana, tukapima nikajihakikishia ni kweli amepata. Baada ya hapo tukazungumza vitu kadhaa, Mimi nilimwambia uhusiano na future itakua Kwa mtoto tu. Ila baada ya kusikia hivyo alikasirika na kuondoka, Kani block namba zote na sehemu zote. Nimefanya jitihada ya kumtafuta Kwa namba ngeni akipokea anasema hataki mawasiliano na Mimi Kwasasa, Hapo imekaaje wakuu!!. Maana alisepa ghafla na nilidhamiria nikimkuta nayo tupashe kipolo😊.
Wakuu Leo jun 25, amenitumia hizi jumbe kwamba nimtumie laki 1, huyu mtu Kani block, nimemwambia unblock na anitumie picha ya ultrasound kwanza, ila hakuna alichofanya Hadi sasa, na hii typing kama sio yake
ATA KUMSHIKIA MIGUU AJA TUSHIRIKISHAUlivyokuwa unamwagia ndani mbona hukutushirikisha
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Imagine ndo mama yako dada yako au binti wako wa kike anafanyiwa hivyoView attachment 2996940Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.
Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
MREJESHO:
Nimekutana na msichana, tukapima nikajihakikishia ni kweli amepata. Baada ya hapo tukazungumza vitu kadhaa, Mimi nilimwambia uhusiano na future itakua Kwa mtoto tu. Ila baada ya kusikia hivyo alikasirika na kuondoka, Kani block namba zote na sehemu zote. Nimefanya jitihada ya kumtafuta Kwa namba ngeni akipokea anasema hataki mawasiliano na Mimi Kwasasa, Hapo imekaaje wakuu!!. Maana alisepa ghafla na nilidhamiria nikimkuta nayo tupashe kipolo😊.
Wakuu Leo jun 25, amenitumia hizi jumbe kwamba nimtumie laki 1, huyu mtu Kani block, nimemwambia unblock na anitumie picha ya ultrasound kwanza, ila hakuna alichofanya Hadi sasa, na hii typing kama sio yake
Mtoto wangu wa kwanza nili mpata nikiwa 21 tena first year chuo sina Boom wala kazi yoyote usitake kujua nili toboa vipi ila mtoto ni baraka ..just jitoe tu kama una amini mtoto ni wako ..zingatia neno (kama unaamini ni wako) [emoji81]
Kumlaghai Na kumrubuni binti sababu ya Tamaa zakoKosa langu Nini hapo
Kwanini ulikuwa unamla?, kama hujui majukumu ni nini chuo ulikuwa unafanya nini?View attachment 2996940Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.
Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
MREJESHO:
Nimekutana na msichana, tukapima nikajihakikishia ni kweli amepata. Baada ya hapo tukazungumza vitu kadhaa, Mimi nilimwambia uhusiano na future itakua Kwa mtoto tu. Ila baada ya kusikia hivyo alikasirika na kuondoka, Kani block namba zote na sehemu zote. Nimefanya jitihada ya kumtafuta Kwa namba ngeni akipokea anasema hataki mawasiliano na Mimi Kwasasa, Hapo imekaaje wakuu!!. Maana alisepa ghafla na nilidhamiria nikimkuta nayo tupashe kipolo😊.
Wakuu Leo jun 25, amenitumia hizi jumbe kwamba nimtumie laki 1, huyu mtu Kani block, nimemwambia unblock na anitumie picha ya ultrasound kwanza, ila hakuna alichofanya Hadi sasa, na hii typing kama sio yake
Sio yeye kunirubuni mimiMtoto wangu wa kwanza nili mpata nikiwa 21 tena first year chuo sina Boom wala kazi yoyote usitake kujua nili toboa vipi ila mtoto ni baraka ..just jitoe tu kama una amini mtoto ni wako ..zingatia neno (kama unaamini ni wako) [emoji81]
Ukikibali kulea hii mimba akazaliwa mtoto asiyefanana na wewr ukahisi umepigwa. Jibu kwake litakuwa jepesi. Nilikuchukia wakati wa ujauzito, ulinikera.View attachment 2996940Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.
Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
MREJESHO:
Nimekutana na msichana, tukapima nikajihakikishia ni kweli amepata. Baada ya hapo tukazungumza vitu kadhaa, Mimi nilimwambia uhusiano na future itakua Kwa mtoto tu. Ila baada ya kusikia hivyo alikasirika na kuondoka, Kani block namba zote na sehemu zote. Nimefanya jitihada ya kumtafuta Kwa namba ngeni akipokea anasema hataki mawasiliano na Mimi Kwasasa, Hapo imekaaje wakuu!!. Maana alisepa ghafla na nilidhamiria nikimkuta nayo tupashe kipolo😊.
Wakuu Leo jun 25, amenitumia hizi jumbe kwamba nimtumie laki 1, huyu mtu Kani block, nimemwambia unblock na anitumie pichaa ya ultrasound kwanza, ila hakuna alichofanya Hadi sasa, na hii typing kama sio yake