Fukuzaa hana akili huyo.Wakuu,naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Huyo dogo ni mpumbavu kuliko mboo yangu daaaaah aseWakuu,naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Naam afukuze kabisa, rubbish!Atoke kwako over
Mtani huyo kijana ni lipumbavu.Asante kwa ushauri mkuu
Anakuwaje na 1m wakati amesema 1.5 ni grossSasa mkuu mwache dogo abaki hapo ila tumpeleka binamu yangu mimi nshaongea nae yeye anataka 1M tu laki 5 tutakua tunamtumia mdogo wako awe ana IM kila mwezi
DEAL?
I thought ni basic basi ngoja nmshushe huyu mpaka laki 8Anakuwaje na 1m wakati amesema 1.5 ni gross
Basic na gross wana tofauti gani?I thought ni basic basi ngoja nmshushe huyu mpaka laki 8
Hebu nipe hiyo connection kuna lijomba langu nalo linatafutaWakuu,naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Sawa dada wa bank bank mimi basic yangu ni laki 2 na arubaini alfuBasic na gross wana tofauti gani?
Hao ni wamoja
Ila basic hana bonus, gross anayo ‘kama ipo’
Take home ndio anakuwa ametokew kwenye basic/ gross
Nipe mimi nikaifanyeWakuu,naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Mrudishe kwa wazazi wakeSasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?